Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #81
maybe urudie swali mana naona nshakujibu
,pili unasisitiza a man kumpiga wife ,me nishashuhudia mtu kampa kichapo wife hadi kamvunja mkono,ni sahihi hyo??
tatu hayo mamlaka unayozungumzia yanakuwa derived from where kama sio BIBLE???????????......ndo mana nkaitaja hapo,
Nilikuuliza unajua kama kuna tofauti za kimamlaka kati ya mwanamke na mwanaume?
Hii hujajibu popote
Kama umejibu nioneshe
Hayo mamlaka hatujakubaliana ni jinsia gani inayo unaanzaje kuyazungumzia yalikotokea?
Kuhusu kupiga unajua mimi nazungumzia kipigo gani?
Umesoma mada ukaielewa?