Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

yani kupigwa ni ishu nyingine kwakwel, yan huwa naimagine kono la ndume linanyanyuliwa @ kunipiga miee weeeh.. kilichopo mbele yangu halali yangu! sipendi kabisa hyo mambo ya kupigwa.. bora kuelekezana kistaarab kama mtu amekosea bt sio kurushiana mangumi, tena vibao vya shavun ndo sivipend hatar! ukitaka ujue nilizaliwa kiangaz au masika nipe kibao cha shavu walaaah ntaku...!
Umenifanya nisikitike tu !!!!!!!!
 
images
ha!ha!haa!duh!Mungu nihurumie mimi jaman naogopa na sipendi kupigwa.
 
ha!ha!haa!duh!Mungu nihurumie mimi jaman naogopa na sipendi kupigwa.

Njia muhimu ya kuepuka hilo ni kuwa msikivu kwa mumeo na mtiifu pia

Kama una mume anaejitambua vyema hatakugusa kwa kipigo

Otherwise jiandae tu!!
 
Kwa maudhi mlonayo wanaume tungepewa nguvu za kuwadunda,mngekuwepo kweli duniani??
 
Hujapata kipigo wewe .........!!!!!!!
honestly sijawah pigwa kwa mkono ila kipigo cha maneno hua kinaniuma nalia kama mtoto na kutambaa kwa magoti kuomba radh kuliko hata adhabu ya mboko ama kufokewa yani cjui inakuaje kama wadudu wanatibuka kichwani fujo tu!so adhabu sio vibao hata maneno yanatosha bt inategemea unaambiwa namna gan.
 
Njia muhimu ya kuepuka hilo ni kuwa msikivu kwa mumeo na mtiifu pia Kama una mume anaejitambua vyema hatakugusa kwa kipigo Otherwise jiandae tu!!
na yeye awe msikivu kwangu la sivyo na mi namrusha mabuti.
 
Maana yake nini?

typing error,nlimaanisha sio,
meaning,nyie wanaume hamkosei kwanza kwani??,em iga picha hata wewe unapigwa,how does it feel,bad enough na mtu ambae u look up on him aku-protect na anakuzidi nguvu already??helpless situation..
Me nahisi ntahama nyumba tu kwa kweli,.au ntakuwekea dawa ya kuharisha kwny msosi cz kukupiga siwezi
kuna sm women sooo wapole bt hvo vichapo mhh,mwngne had anmvunja mkono wife,mtu hadi u wonder wtf..
 
honestly sijawah pigwa kwa mkono ila kipigo cha maneno hua kinaniuma nalia kama mtoto na kutambaa kwa magoti kuomba radh kuliko hata adhabu ya mboko ama kufokewa yani cjui inakuaje kama wadudu wanatibuka kichwani fujo tu!so adhabu sio vibao hata maneno yanatosha bt inategemea unaambiwa namna gan.

Kuna wakati vibao vinahitajika!!
 
kumbe mwanaume ana mamlaka ya kupiga?
na mwenye mamlaka ya kukosea ni nani?

Nimekuuliza ktu kingine unajibu kingine

Ni sawa na kuulizwa sababu ya mvua kunyesha halafu unajibu binadamu anaharisha kwasababu ya kunywa maji yasiyokuwa salama

Hebu rudia swali kisha ujibu tena!!
 
na yeye awe msikivu kwangu la sivyo na mi namrusha mabuti.

Unaweza?

Lakini tofauti na kuweza,unajua kuwa kama kuna tofauti za kimamlaka kwenye ndoa?
 
Back
Top Bottom