Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.
Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.
Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
hawajui ujanja unashuka kwenye gari tana kama umependeza wewe unafungua boneti unajifanya unaangalia angalia watakuja wanaume tu..... kama ni pancha unachukua jeki unajifanya kuanza kurekebisha aah bwana wakaka wa mjini wanajisogeza pole pole mtoto wa kike huku unatabasamu ..... wanawake wengi hatujui hata kukagua gari ni basi.... kazi ya wanaume hiii sisi ni kuendesha tu
Ni kweli wanawake wengi hawana utaratibu hata wa kuangalia maji asubuhi, upepo, oil etc sababu ya kudekezwa au kutofahamu tu.
Mimi mke wangu nilishamfundisha hizo mambo maana ana experience ya kutosha kwa majanga.
Asubuhi atafungua bonet(kama nikiwa nimeondoka tayari) ataangalia maji na oil(ingawa si kila siku) pia anajua kilometa za next service so anaangalia mara kwa mara kwenye dashboard kama zimefika.
Juzi juzi alitaka kutoka akakuta pancha. Wala hakunipigia alichofanya alitoa spea tire na jeki na kila kitu akaset namna ya kubadili tairi ndio akaomba msaada wa kuzungusha jeki huku akishiriki kufungua nati.
Nashauri tuwashirikishe wake zetu sio tu kwenye magari hata kwenye vitu vingine vidogo vidogo ambavyo havihitaji nguvu sana.
Kiukweli wanapenda kudekezwa ila wakiona majanga yake wanakuwa makini.
Kasinde utakua kitandani mtamu sana ikiwa kama tyre tu unabadirsha wewe mwenyewe!!
kwa kukujibu tu ni mindset wangu wanawake wengi si unajua ni legelege so vitu vya mechanics kwao inakua ngumu kumeza
Wengi wao wanafahamu kuendesha kwenda mbele tu, shughuli huwa shughulini wakitakiwa kurudi kinyume nyume sehemu finyu au hata kwenye msongamano kama Mijini. Mmmmhhh tunaona mengi
Nilishawahi kulala kwenye gari as kitanda ila ilikuwa msibani enzi hizo nilipata mateka tukajimuvuzisha kwenye noah all night long...
Wewe yako ilikuwajee
Aahhh sukari ya warembo umetishaa!! Mpatie new model ila ujue na wese la hiyo harrier ni jukumu lako eehh
Hahah mi nimekupa pongezi tu bana ila nilijua hili ni gari la pili umenunua si lile la makrashi...
Mkifanya nyie kila kitu mafundi watakula wapi?
We mara kibao nimekwambia twende wote jogging lakini wanikimbia...
If u serious utanitafuta mwenyewe...