Yani hapa nilipo hadi nimeanza kutetemeka kwa furaha.Kwa hiyo unaniagizia gari gani?......lol
Kwa hili neno langu si sheria, wewe sema wataka lipi atiii?
Eeeh wii unanunuliwa gari? Mumeo anajua?
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua unamiliki gari...
2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...
3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?
Jamani my wii unajua uwepo wako hapa umenishtua moyo
Kwa nini wii?
Nadia,rav4 au harrier sijui nimepatia majina?......lol
wanawake wengi wana kutokujiamini katika vitu vingi.... so anampa pass mwanaume amalizie mashambuliziHabari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.
Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.
Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
Eeh...hufanyi makosa rafiki..nilifikiri ungeanzia kwenye starlet (joke)..
Habari zenu wapendwa.