Wanawake na magari

Wanawake na magari

Wengi wao wanafahamu kuendesha kwenda mbele tu, shughuli huwa shughulini wakitakiwa kurudi kinyume nyume sehemu finyu au hata kwenye msongamano kama Mijini. Mmmmhhh tunaona mengi
 
Au miss chaga utamlipa fadhila gani huyo kidume aliekusaidia kuweka sawa Gari lako?

namuuliza kaka unataka sh ngapi huku namrembulia macho... atakuambia usijali mama kwani unaelekea wapi? unamjibu anaanza misele mwisho wa siku wanajifanya kama zile tamthilia za kuangukiana beach
 
Wengi wao wanafahamu kuendesha kwenda mbele tu, shughuli huwa shughulini wakitakiwa kurudi kinyume nyume sehemu finyu au hata kwenye msongamano kama Mijini. Mmmmhhh tunaona mengi

hapo kweli mesema
 
namuuliza kaka unataka sh ngapi huku namrembulia macho... atakuambia usijali mama kwani unaelekea wapi? unamjibu anaanza misele mwisho wa siku wanajifanya kama zile tamthilia za kuangukiana beach

Hahahahaa, miss chaga mi nahisi umezaliwa mikoa hii ya mwambao, una miteeego!
 
Ninavyodeka mtotto wa kike nianze tu kushika jeki eti nafunga tyre kwanza naona aibu.na jikon nani afanye.
 
Wanawake wao kitandani na jikoni


ivoooo basi watafutiwe madereva wawe wanawaendesha ili ikitokea breakdown dreva ashuhulike mama achukue taxi
 
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua unamiliki gari...

2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...

3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?

we naweeee, leo ndo umegundua nina gari inamaana siku zote hizo ulijua nawazuga MMU, mie niandikacho ni real na huwa ni matukio ninayokutana nayo au yanayonitokea 90% mbona huku note kuwa sina husbendi umeona gari tuu, anyway as gari ndio hoja kuu lets go...... Asante kwa kunipa pongezi nimezipokea.

okeee ila wanatakiwa wajifunze walau kubadiri tairi au hata kuchokonoa betri ikiwa iko loose sio gari inazima unapigia fundi anakuja kusogeza betri tuu gari inawaka .......................... haya endeleeni kuwadekeza kwa kuwa wanao wa kuwadekea akina sie tunaopopo ni spana mkononi.

Mazoezi kama kawa nafanya siwezi kuacha, yameshakuwa sehemu ya maisha yangu na ratiba yangu ya kila siku. Na nimekuwa nikifanya kila siku kwa sababu siku hz bajaji zinaringa sana, so nikitoka nampita muuza matunda yuleeeeee motooo hadi morocco nakimbia mdogo mdogo from posta to morocco non stop karibuu
 
Wanawake wao kitandani na jikoni

Hayo Mambo mengine hawawezi . ! wanaforce na ni kutokana na haya maswala ya haki sawa kwa wote ... lakini ikija issue ya tatizo ..linakua haki kwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom