Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,751
- 62,776
Ndo niko hivyo yani... nikiona tu mtu wa kuchat chat mda wote, kubembeleza bembeleza hiyo kwangu ni red flag😎akiletwa Dk anaweza baini kaugonjwa ulikonako..
mwe.
labda hujiamini..
au basi ni tru love!‼️