Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Heheheeee eti kanuka kwapa

I mean...kajitu kila sehemu kanajifanya eti kananichukia.

Kanatumia nishati nyingi kweli kuutanabahisha umma wa JF kuwa hakanipendi. Matumizi ya nishati nyingi kutokunipenda mimi lazima yakutoe kijasho cha kwapa.

Eti hakanipendi...😀. Ala! Mi ndo nakapenda?

Ain't no one losing sleep over a riffraff...😀😀😀.
 
I mean...kajitu kila sehemu kanajifanya eti kananichukia.

Kanatumia nishati nyingi kweli kuutanabahisha umma wa JF kuwa hakanipendi. Matumizi ya nishati nyingi kutokunipenda mimi lazima yakutoe kijasho cha kwapa.

Eti hakanipendi...😀. Ala! Mi ndo nakapenda?

Ain't no one losing sleep over a riffraff...😀😀😀.
Tupo tunaokupenda bana,,halaf kinyume cha kuchukia ni kupenda kua macho ni kinyume chake hichoooo
 
Levy na Jayran nawapenda hawaaaa watu kuna wanawake wanafaidi haswaaaaa
uploadfromtaptalk1469977937686.png

Huyu ni Jayran kaigiza movie ya beauty and the beast ,he is sooo romantic
 
Kwa kweli wanaume hawa sijui wana nini yaani ukiwaangalia tu lazima wakuvutie, baada ya kuona siwezi kummiliki John Dumelo ilibidi nimtafute angalau anaefanana nae ili niwe nijifariji
ahaaaaa ni wachache sana wanaomfanana john image take ni akina the great mungu ampumuzishe kwa amani
 
Wallah kunawanaume mungu kawapendelea jmn,yaan wanamvuto balaa mpk ukilala unavuta hisia km vile ungekua nae.BTW hata humu kuna wanaume ukisoma michangoyao unataman uwenae.lakin ndo.....
We Venossa wewe.... khaa!

I love you too
 
The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'what does a woman want?' #
 
Dumelo Dumelo akiwa kwa muvi lazima niiangalie, pia napenda anavyorusha links za maisha ya mahaba.

Niliwahi kumuona pia mji fulani.

Anavutia kweli, bali sijafikia kumtamani kuwa nae kitandani.
Afadhali. Maana wivu ungeniua
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
Probably that's will be me
 
Back
Top Bottom