luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
wacha kabissaaaa embu nianze na john dumelo, kwanza mwanaume mweusi anavutia saaana Pili ni gentle, tatu ni mrefu NNE body lake hakuna mfano, tano john ana sifa moja inayofanana na ya levy yaan akiwa anaongea kitu serious anakunjaga USO kidogo afu anaachia bonge La smile acha kabisa .
wilium levy nae ana body zuri sana ni gentle ni mrefu daaa ila ana sifa pekee akiiigiza deep love utamtaka yaan Mara nyingu utazama kiupande afu ukunja USO kuinama na kuinua vimachi vyake utoa machozi yaan sijui nisemeje. afu akivaa shat la mikono mirefu akaikunja Weweeee huku amechomekea loh acha kabisa na smile lake loh,
N.b kwenye soka sifa zikumimimikie Ronaldinho gaucho, no matter what meno yako 2002_2006 ahaaaaaaa hapo Niko ndogoo ndo secondary ahaaaaaa kila gazeti nilinunua so long as Lina picha yako,
RIP the great kanumba.