Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Akiwa kijana wanawake walimpenda sana ulikua huwaelezi kitu
1470210975977.jpg
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
basi le mutuz anakubebe kiulaini hadi raha hahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom