Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

1469980822618.jpg
Na huyo hapo mkuu Sukari yao...
 
jaman tusijenge chuki wanajamii forum,naona William levy na John Dumelo wanaiweka mada hot mpaka wadau Nifah na Nyani Ngabu wanakoromeana,but take it easy you guys,wanaume wote wa jamii forum wako bomba kinoma
 
Heheheh halaf akirembua ni balaaaa ila ana body kali mi macho makubwa kwa wanaume siyapendii haha
Yaah hata mimi hapo labda body tu...macho yake yamezidi kuwa makubwa kha kama fundi saa!! akiact ndo anamkaba mdada hapo hatari anayakodoa hatari
 
jaman tusijenge chuki wanajamii forum,naona William levy na John Dumelo wanaiweka mada hot mpaka wadau Nifah na Nyani Ngabu wanakoromeana,but take it easy you guys,wanaume wote wa jamii forum wako bomba kinoma

Hahahaa mi mbona wala sina shida na mtu.

Nashangaa tu nachukiwa bila hata kujua nachukiwa achilia mbali kumjua anayenichukia.

I must be somebody..if I'm hated like that.

Life is awesome😛.

If you ain't got no haters you ain't poppin'

Evelyne salt my sis ukowp leo??? Nataman kusikia neno kutoka kwako.
 
jaman tusijenge chuki wanajamii forum,naona William levy na John Dumelo wanaiweka mada hot mpaka wadau Nifah na Nyani Ngabu wanakoromeana,but take it easy you guys,wanaume wote wa jamii forum wako bomba kinoma
Take it easy too brod...
 
Back
Top Bottom