jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,383
Kuna tatzo mkuu?..nambie nijue.He! Angalia mkuu. Shauri zako!
Kuna tatzo mkuu?..nambie nijue.He! Angalia mkuu. Shauri zako!
Le Kung Fu Panda.........Hapo kwenye list muongeze na Le mutuz


huyo William levy nampendaga tu, usiniulize kwann 


unampendea nnhuyo William levy nampendaga tu, usiniulize kwann
![]()
john dumelo he is good inside out.mi mwenyewe hapo nna crush nae... aseee Mungu nipe kama huyu lols



Haaa katununulie card za ""I'm Sorry"" utuombe radhi Le mutuzHapo kwenye list muongeze na Le mutuz
? Yule anapendwa na Mange not us!Niko hapa. Come this way babejohn dumelo he is good inside out.mi mwenyewe hapo nna crush nae... aseee Mungu nipe kama huyu lols
Kuna madaktari wa macho!Unawezaje kujua tabia ya mtu wakati hujaishi nae
Akili kubwa unaangukia kwa Lemutuz sasa !Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja![]()
Utakuwa na nyota ya mgambo kama unapendwa na kina mama ntilie!Kumbe tunaopendwa tupo wengi..mi nashangaa kwanini napendwa sana na akiana dada hususan akina mama ntilie?....labda cjui kwa kuwa nina muonekano flani hivi,yaani mpaka kero.
Akili kubwa unaangukia kwa Lemutuz sasa !



Kwa kweli wanaume hawa sijui wana nini yaani ukiwaangalia tu lazima wakuvutie, baada ya kuona siwezi kummiliki John Dumelo ilibidi nimtafute angalau anaefanana nae ili niwe nijifariji



umetishaaa 

Anitake radhi kabisa. Mimi na ze mburura wapi na wapi?
Huyo ninayemsemea mimi na Le Mutuz ni mbingu na ardhi.
Uje without kabisa. Sawa enh?![]()
am coming.....