Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Me yote 9, kumi ni ile style yao wakivaa mashati/ masweta (haswa William) afu wanayavuta/kuyakunja hadi kwenye pande za kiwiko hivi. Yani nafwarikiz kabisaaz (kameshakuwa ka ugonjwa haka nahisi lol)
Jichagulie adhabu mwenyewe....
 
Wallah kunawanaume mungu kawapendelea jmn,yaan wanamvuto balaa mpk ukilala unavuta hisia km vile ungekua nae.BTW hata humu kuna wanaume ukisoma michangoyao unataman uwenae.lakin ndo.....
 
Wallah kunawanaume mungu kawapendelea jmn,yaan wanamvuto balaa mpk ukilala unavuta hisia km vile ungekua nae.BTW hata humu kuna wanaume ukisoma michangoyao unataman uwenae.lakin ndo.....
Daaaaa! Hii itanifanya nishushe nondo zangu zote jukwaani
 
Dumelo Dumelo akiwa kwa muvi lazima niiangalie, pia napenda anavyorusha links za maisha ya mahaba.

Niliwahi kumuona pia mji fulani.

Anavutia kweli, bali sijafikia kumtamani kuwa nae kitandani.
 
kila MTU shoga ana vionjo vyake yaan pamoja na sifa hizo zoote mm ugonjwa wangu ni mwanaume msafiiii loh hapa uwa sinaga ujanja
Mwanaume mthaf bwana ananoga!! co unakuta jianaume linanuka nguvu akuuuuu
 
Chaka mkuu.
Simpendi kabisa huyo jamaa.

😀😀😀😀.

Glad to know I own some prime real estate in your [thick] skull.

Bye Felicia.

images
 
Atakuwa #Nyani ngabu# fisi mzee

Naah...kenyewe kameshasema eti hakanipendi [as if mimi nakapenda...kwanza usikute ni kanuka kwapa tu😀. Halafu hata sikajui na wala hakanijui.].

But then again you know what man...those who profess their dislike of me are the ones who can't even contain their eagerness to read what I write let alone keep my name out of their mouths.

They are closeted card-carrying members of my fan-club.

I love 'em all.
 
Heheheeee eti kanuka kwapa
 
Back
Top Bottom