kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
😀😀😀 noma sana mkuuWanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
😀😀😀 noma sana mkuuWanawake utawaweza wanaweza kupenda hata mhudumu wa mochwari siku wakifa awafanyie make up za kutosha "acha chezea mamanzi"
Afadhali. Maana wivu ungeniua
Ain't thinking bout you...
Nope my dear...bora ibaki kuwa siri yangu tu.
Imagine sijamtaja tu taharuki ni kubwa...nikimtaja je?
Hell no...simtaji![]()
Nyani Ngabu na Nifah kuna nini aseee mbona namna hiyo?
Bila kunisahau mimi pia!Hapo kwenye list muongeze na Le mutuz
Makopa kopa means?....umemdondokea kaka William Levy eeh...William Levy![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



Ndo manake yule mkaka jamani ananiachaga hoi hasa akiigiza deep love daahMakopa kopa means?....umemdondokea kaka William Levy eeh...![]()

Jennifer Lopez keshapita pale...mwanamama hakoseagi yule...Ndo manake yule mkaka jamani ananiachaga hoi hasa akiigiza deep love daah![]()
![]()
![]()
![]()




Hahahah... Le mubebezHapo kwenye list muongeze na Le mutuz
Jibu simple ni 'uanaume' wao, in English tuseme 'masculinity' by body features na tabia
Mkuu kama wewe wa pumba pumba tu. Hata mwandiko utakuangusha...kwa hiyo kuwq mpole tuDaaaaa! Hii itanifanya nishushe nondo zangu zote jukwaani
Nina IQ kubwa balaaMimi 50% ni akili kubwa...
Vingine vinafuata.