Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Nlichogundua hapo kwa picha pamoja na uzoefu wangu kwa watoto wa kike, Ni kuwa sifa za hao jamaa ni unadhifu pamoja na muonekano wa kiume.
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
mimi nini? najihisi haha
 
Wanajua wenyewe wanachowapendea... ni sawa na wewe ulivyopendwa na hao wanawake wote uliyokwisha wapitia...
 
Haaa katununulie card za ""I'm Sorry"" utuombe radhi Le mutuz [emoji15] ? Yule anapendwa na Mange not us!
Teh teh..Le mbebez..Nahisi ndo mwafrika pekee anayeongoza kuwa na picha nyingi na watoto wa kike
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Sio mimi kweli? Hebu funguka!
 
Back
Top Bottom