Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Hata Mimi ndo ivyoivyo japo sio duniani kote, ila mtaani kwetu, kazini, nk....haaah
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hahah... Ila wana mvuto

Hebu elezea vizuri aina za.mvuto unaouona hapo. Maana sisi wanaume si rahisi kuona mvuto wa mwanaume mwenzio. Lakini wanawake huwa wako concerned na mvuto wa wanawake wenzao na sijui huwa wanauonaje maana mvuto ni hisia. Ndiyo maana utakuta wanawake wanashangaa yule msichana ana bahati na wanaume lakini wala siyo mzuri. Hii ni kwasababu hamuwezi kuwa na hisia kama tulizonazo wanaume. Msichana kuwa mzuri ni jambo tofauti na kuwa na mvuto. Hilo.wanwake wengi huwa hawalielewi na mara nyingi.mmekuwa mkishughulika na mambo makubwa kuonekana na mvuto kwa wanaume. mwanaume aweza kumpenda mwanamke.kwa kitu kidogo tu. Ina maana hata usipohangaika mwanaume akukupenda anakupenda tu.
 
john dumelo he is good inside out. mi mwenyewe hapo nna crush nae... aseee Mungu nipe kama huyu lols
 
Kwenye marichui alikua anaitwa Juan Miguel San Roman,kasababisha mpk ndoa jlo na Marc Anthony ife
Ndoa ya jlo na marc Anthony ili vunjwa na dancer wakiume wa jlo na sio levy..
 
Kumbe tunaopendwa tupo wengi..mi nashangaa kwanini napendwa sana na akiana dada hususan akina mama ntilie?....labda cjui kwa kuwa nina muonekano flani hivi,yaani mpaka kero.
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
Ole wako ungenitaja....
 
Back
Top Bottom