Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Mi Mwanaume akiwa Black Na mrefu Na six packs Basi keshamaliza kazi...(Leo ntakoma)
 
Sikuyaanzisha mimi. Kayaanzisha huyo mnuka kwapa wako.

Hayo ya huko kwingine alinitajataja nikampuuza.

Kuja na huku naona anawakumbusha tena jinsi ambavyo hanipendi. Kwani mi nampenda?

Kajitu kameng'ang'ana kuukumbusha umma wa JF [jinsi ambavyo hakanipendi] kila mara utadhani kameulizwa.

Who cares if she don't like me?

She can kick rocks and die.
Teh teh eti utadhani kameulizwa (pamenifurahisha hapo tu)
 
Hahahaaa mtu kama hanipendi si apige kimya kimya tu...

Ya nini kutangaza?
Labda kukaa kimya hawezii,na kuna mmoja alikuaga anasema hakupendi anakuchukia kwelu lakin sasa hiviii namuona kakaa mguu pandee eti umekua handsome humu kuna vitukoo
 
VP Ramsey Noah??nae Ni shidaaaah
Ramsey yuko poa anavutia ,ila van mfupiii labda kaushombe tu
Ila tisa kumi Levy yule ,akicheka ,akiangalia na yale macho yake unaweza sema anakuita na zile nywele ndio usiseme,halaf mwanae wa kiume kamfanana kweli
 
Labda kukaa kimya hawezii,na kuna mmoja alikuaga anasema hakupendi anakuchukia kwelu lakin sasa hiviii namuona kakaa mguu pandee eti umekua handsome humu kuna vitukoo

Kajitu hata sikajui na hakanijui. Sijawahi hata kukatongoza [kwanza hata sitongozagi mimi]. Halafu eti hakanipendi...nani anataka kupendwa na nzi?
 
Samahni hivi kuna wanawake wanapenda wanaume wakorofi kwelii? Maana mi nna mahasira, ma temper ma kila kitu yaani kwa kifupi ngumi mkononi...nshaachwa sana kwa tabia hii kila nikijaribu kuacha nashindwa...duuuh hasira mbaya sanaa asee
Watu wa hivi mnapataga mabinti wapoleeee. Wewe ukipata mkorofi zaidi yako utasurrender ndani ya siku. Ni nini source ya hasira zako? inabidi ujue na utafute tiba yake aisee, utakuja kuua siku
 
Kajitu hata sikajui na hakanijui. Sijawahi hata kukatongoza [kwanza hata sitongozagi mimi]. Halafu eti hakanipendi...nani anataka kupendwa na nzi?
Na akikujua atakuchukia?? (Itakua sizitaki mbichi hizi)
Unajua nataka kulala halaf unaniua mbavu usiku huu,nzi una vimaneno hu hu huuu
 
Acha wapende wasivyovijua.
Hakuna kizur kisicho na kasoro.
 
Teh teh!, wa nyumbani tena, nyie ndo wenyewe. Lakini jiongezeni kidogo kuwa romantic. Mta pass kila kitu. 🙂

Heaven Sent na Sweetiepie what says you about this.
Ndio wajiongeze tuache kuvutiwa na wa nje....sio kwamba tunapenda ila ndio hvyo wale nao Swagger zimezidi, unakuta mtu yuko smart kuanzia mavazi had brain , hatari tupu mjini hapa
 
Back
Top Bottom