Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Samahni hivi kuna wanawake wanapenda wanaume wakorofi kwelii? Maana mi nna mahasira, ma temper ma kila kitu yaani kwa kifupi ngumi mkononi...nshaachwa sana kwa tabia hii kila nikijaribu kuacha nashindwa...duuuh hasira mbaya sanaa asee
 
Duuh...wanawake hawapigwi, labda una pepo la mahasira na ugomvi..omba sana Mungu akunusuru na hilo tatizo.
 
Hahaa, unanikumbusha dem wangu mmoja alkua na hako kaugonjwa ka kukunja shati, yaani tukienda mahali anataka nivae shati la mikono mirefu afu nikunje,
Sasa balaa likaja mwanachuo mwenzie nae ana kaugonjwa ka ka kwake, cku akamwambia "yaan nikiona mkaka kakunja shati namtamani hd sa ingine pichu inaloa" nkashangaa napigwa marufuku kutia timu chuo, baadaee ndio akaja kuniambia sababu, nlicheka sana aiseee.
Cjui wewe ulkua wangu au ndio rafikie!! Natania tuu lakini
Hawa viumbe
 
Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.

Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja
Nifah..nimtaje nakupa Zawadi njoo inbobo
 
Back
Top Bottom