sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 462
Jamani sweetie..mbona unepanic..Najuaa Ni Mdada..sorry to offend you..usiwe too emotional... JF kuna matani sana la sivyo utakimbia mchana kweupe. We ukisoma iyo post yangu Ni kama nipo serious? Come one baby girl..just come down..usiwe ivyoo..Haya chukua soda kwa Mango ntakuja kulipa.Hope umenisamehe.Unataka kuleta habari zingine kabisaa..kwani mkuu hili jukwaa ni la akina mtu fulani? au linamilikiwa na watu fulani kwamba wao tu ndio wanapaswa kuonekana humu? si mtu unapoguswa na mada unachangia au...labda uniambie wewe au moderator aniambie kama kuna boundaries za watu wapya kuchat. Kumbuka na wewe pia uliwahi kuwa mgeni humu hadi ukazoea jukwaa, sidhani kama namkera mtu humu maana situkani wala simkejeli mtu ila natoa tu maoni yangu kama mimi na sina haja ya kupata attention kutoka kwa mtu yeyote, sorry kama nakuboa, sorry indeed aisee yashakuwa hayo tena.
