Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Me yote 9, kumi ni ile style yao wakivaa mashati/ masweta (haswa William) afu wanayavuta/kuyakunja hadi kwenye pande za kiwiko hivi. Yani nafwarikiz kabisaaz (kameshakuwa ka ugonjwa haka nahisi lol)
Wewe mtoto wewe?ujue nakufuatilia kiulainiiiiiii,maana comment zako ni superb.
 
Hapana, siyachukulii kwa uzito kihivyo na ndo maana hata siku ile uliona nilikapuuza tu hako kadada kako.

Uliona kuwa nilimjibu licha ya kunitaja taja? Sidhani.

But sometimes you have to put suckers in their place.

Kajitu kanajipinda mara zote kuwaambia watu eti hakanipendi....hakanipendi kananijua?
Haya Ngabu ila jua basi unaporusha punch zako huyu ni mtoto wa kike tu ,kuchapwa kwake ni kwa kanga tu sio unapiga kama kifaru
 
Dumelo Dumelo akiwa kwa muvi lazima niiangalie, pia napenda anavyorusha links za maisha ya mahaba.

Niliwahi kumuona pia mji fulani.

Anavutia kweli, bali sijafikia kumtamani kuwa nae kitandani.
Afanaaaaaleyk,albugudha wabughududu sududuuuu,almarghany nyambat kongowiaaaa.
 
yani unaweza ukanikuta nasmile tu peke yangu, kumbe ni mkaka kapita kakunja shati vizuriiiiii (ila inategemea na size, sio mtu anavaa shati 6 metres eti na yeye analikunja akhuuuuuu )
Hahaa, unanikumbusha dem wangu mmoja alkua na hako kaugonjwa ka kukunja shati, yaani tukienda mahali anataka nivae shati la mikono mirefu afu nikunje,
Sasa balaa likaja mwanachuo mwenzie nae ana kaugonjwa ka ka kwake, cku akamwambia "yaan nikiona mkaka kakunja shati namtamani hd sa ingine pichu inaloa" nkashangaa napigwa marufuku kutia timu chuo, baadaee ndio akaja kuniambia sababu, nlicheka sana aiseee.
Cjui wewe ulkua wangu au ndio rafikie!! Natania tuu lakini
 
Hahaha ukute me ndo huyo rafiki ake. Honestly huwa nakosheka roho mnoooo
 
Ila akya nani wanawake mnatofautiana sana kwenye kumpenda boy,
Nilikutana na mmoja hapendi mashati yangu ya kimodo hadi alkua akinuna akinikuta nayo. Na tisheti pia hapendi za kubana, cjui mlokole yule!!
 
Back
Top Bottom