Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'what does a woman want?' #
"... What does a woman want...!" In which context mkuu?
 
Huu uzi ni wa SHHHHH

Jipeni moyo, wenye sura nzito ndio kama jigA ndio wanaokula nyama.
M speechless.
 
Wanaume wa Dar ,acheni kukesha kwenye vioo kupaka nywele mafuta na kufanya massaging mikono. Mnapungua makali..
Kuweni kama wa mkoa.
 
Dah mvuto ni kitu cha ajabu sana ,mimi naweza kuvutiwa tu na Dental formula ya bi dada basi tu ,
 
I mean...kajitu kila sehemu kanajifanya eti kananichukia.

Kanatumia nishati nyingi kweli kuutanabahisha umma wa JF kuwa hakanipendi. Matumizi ya nishati nyingi kutokunipenda mimi lazima yakutoe kijasho cha kwapa.

Eti hakanipendi...😀. Ala! Mi ndo nakapenda?

Ain't no one losing sleep over a riffraff...😀😀😀.
Dah mmemwandama dada yangu hadi sio vizuri yaani kule kwenye uzi wako wa kutongoza kaja sijui ndio mkeo matusi tu huku leo mnuka kwapa ...mwee mwacheni bana
 
Dah mmemwandama dada yangu hadi sio vizuri yaani kule kwenye uzi wako wa kutongoza kaja sijui ndio mkeo matusi tu huku leo mnuka kwapa ...mwee mwacheni bana

Sikuyaanzisha mimi. Kayaanzisha huyo mnuka kwapa wako.

Hayo ya huko kwingine alinitajataja nikampuuza.

Kuja na huku naona anawakumbusha tena jinsi ambavyo hanipendi. Kwani mi nampenda?

Kajitu kameng'ang'ana kuukumbusha umma wa JF [jinsi ambavyo hakanipendi] kila mara utadhani kameulizwa.

Who cares if she don't like me?

She can kick rocks and die.
 
Duu hii ngoma ni ngumu na wewe mambo ya humu unayachukulia kwa uzito kiasi hicho ??
 
Duu hii ngoma ni ngumu na wewe mambo ya humu unayachukulia kwa uzito kiasi hicho ??

Hapana, siyachukulii kwa uzito kihivyo na ndo maana hata siku ile uliona nilikapuuza tu hako kadada kako.

Uliona kuwa nilimjibu licha ya kunitaja taja? Sidhani.

But sometimes you have to put suckers in their place.

Kajitu kanajipinda mara zote kuwaambia watu eti hakanipendi....hakanipendi kananijua?

Halafu kila nikianzisha mada utakaona hako kanakimbia kuja kucheka cheka na kukata viuno....halafu eti hakanipendi.

FOH
 
Back
Top Bottom