Baadhi ya wake za watu rahisi mno kuwala, sio sababu ya kuwasifia tu. Wengine wako wapweke sana ndoani mwao.
Afu anaona bora aitoe tu nje maana hata ndani inaliwa daile.
hahahaaa!! mwaka jana wakati niko mwanza bwana, kuna bibie hivi ambaye tulihitimu kidato kimoja lakini shule tofauti,
basi katika piga piga story akanifahamisha kuwa amesomea unesi na ameolewa!.. basi kwa vile ndio tunaona, sikuwa na mengi ya kusema kwake.. nikaaga na kusepa!... mr lover lover nikawa nimempenda kimtindo!
basi kesho yake, nikaanza mazoea kiaina, kila nikimkuta tu kwake, naanza kumpa sifa za uongo na kweli, hapo mumewe yuko kazini, kumbe mdada wa watu akawa anavutiwa sana na kufarijika na yale maneno anayopewa! kimoyomoyo akawa anatamani aniambie kitu muhimu, ila akawa anasita..
mi nae nikawa na hamu sana ya kubanjua sababu niliona kila dalili, basi tu nikawa nimeheshimu ndoa yake.. nikafuta yale mawazo..
kasheshe imekuja baada ya kuondoka kuja dar, mdada wa watu anipigia simu na kunitumia ujumbe kunilaumu,
eti kwanini sikumla wakati nimeona kila dalili! hmm! aisee sijawahi fumaniwa katika maisha yangu, wala siombi itokee,
bidada kaweka oda maalum eti nikirudi this time lazima ahakikishe!... kazi wanayo kweli wanandoa!!
Nashindwa kuelewa kwanini wanandoa hasa wa kike wanakosa happiness ndani mwao...!