Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #21
Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!
Hivi unajiuliza hapa tu
Lakini kwenye mazingira hayo unajikuta unajiuliza hayo wakato "tayari"!