Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Anakutazama hivi wakati anakusifia
Utasalimika kweli?
![]()
macho yake yana mvuto kabla ya sifa zenyewe lol
Anakutazama hivi wakati anakusifia
Utasalimika kweli?
![]()
Kwisha habari yako ....
![]()
Yaaani.... hebu wacha kuwa yahaya shehe
hahha ukiingia tu waikodolea mijicho
Umeshakamatika tayari
Ukija kuuliza hayo mengine tayari unakuwa umeshafika huku
![]()
hahahaaa!! mwaka jana wakati niko mwanza bwana, kuna bibie hivi ambaye tulihitimu kidato kimoja lakini shule tofauti,Baadhi ya wake za watu rahisi mno kuwala, sio sababu ya kuwasifia tu. Wengine wako wapweke sana ndoani mwao.
Afu anaona bora aitoe tu nje maana hata ndani inaliwa daile.
Binti, unaangalia picha uchague sifa beibe au? sijaelewa!!Nipo mkuu
Naangalia movie hii cos pics zipo
Hahahahaaa!!
Jus DIPU me and you'll find one!
huo mzigo wa zambi kati ya miguu, mmhhh!
Unakwenda kujilia kirahiiisi!!
nishakwambia nataka Kuwa number one so second hand
Nimeanza kukupenda unajua
sijui ndio waniambia sa hivi