Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
mchokozi sana wewe!! Ngoja aje akwambie no free p!!
Last edited by a moderator:
hivi nilikua wapi hadi ukaoa dah
Maisha ni tofauti sana kwenu na kwetu
Ni rahisi kumpata mwanamke wa kubanjuana lakini ni ngumu sana kumpata mke!
Being mature is enough!
hutaki nikupende
najuta kukukosaUlikuwa bado unachipukia sikujua kama mambo yako yatakuwa moto namna hii
Nope hii sio kweli women are like molecules wana move freely unapowapa attention na kuwasifiasifia maana ukweli wanapenda sifa una nafasi ya kubanjua haya mambo tuliongelea kwenye topic ya kuchepuka sifa kumpa mwanamke zinaangukia kwenye emotional infidelity unahakikisha mwanamke anakuzoea anakuwa part ya maisha yako unakuwa unafanya mambo ambayo una uhakika mmewe au boyfriend wake hafanyi maana na wewe hufanyi kwa mkeo au girlfriend. Tukumbuke kuna mambo ya temporary ambayo hayatakuwapo kila siku sasa wanawake hushindwa kutofautisha na kuanza kusema jamaa siku hizi sio kama zamani mfano huwezi kila saa ukawa unapay attention mwanamke kavaa nini umsifie bali utasifia mara moja moja au kusifia ananukia vizuri utasifia mara moja moja maana unaishi naye na hayo marashi yamo ndani kwenu sasa kwa watongozaji husifia tu hata hamaanishi kiasi kwamba mwanamke anaanza kuona msifiajia au dreva tax ni wa maana kuliko mwenye tax pia hawakosoi maana anajua anapita tu na wanawake nao huona kutokosolewa eti ni upendo. Listen people anayekupenda atakukosoa maadamu mlikulia familia tofauti lazima kuna tofauti pia ule mtizamo wa gender nyingine inawaonaje kwa wanawake ukiona mwanaume hakucritisize wa lolote ili akiuudhi huyo anapita tu hatako akukorofishe mwanamke unayetaka kuishi naye kuna principles unaziweka wazi is up to her to take it or not
najuta kukukosa
Hahahahha ngoja waje