Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
wenye vigezo na masharti wanazingatiwa.....kwahiyo hapo kama unamacho utaona,ina maana utabanjuka na wangapi kwa sifa
wenye vigezo na masharti wanazingatiwa.....kwahiyo hapo kama unamacho utaona,ina maana utabanjuka na wangapi kwa sifa
huyo mi hajanikosha nywele zimempunguzia pointI know you ladies!
Halafu ukute kajamaa kama haka hapa,lazima uka ........
![]()
miye nimeiprint kabisa nimebandika mlangoni kwangu!
Hutak tu kunipata nafasi zipo 3
wenye vigezo na masharti wanazingatiwa.....kwahiyo hapo kama unamacho utaona,
Hii dizaini ya nywele huipendi!!
![]()
Ni kweli kabisa, nilikula wawili kwa kuwamwagia misifa wakati nipo secondary,
Yan wewe naona unakaa mlangoni pa MMU....post ikitupiwa tu kama sio wa kwanza kucomment bas wa pili au wa tatu
hainibariki kwa kweli nchagulie zingine
we mtu mzima bana tajua mkono upi unatumika kwenye kulahahahaha je kama yupo mwenye mali na msifiaji ana viwango atapata chance
we mtu mzima bana tajua mkono upi unatumika kwenye kula