Wanawake mna nini na hii kitu?

Wanawake mna nini na hii kitu?

Na ndio maana nikasem kuwa na wewe unadhibitisha nilichokisema hapo juu hata kwako pia

Usidhani sijakuelewa,yaani hata wewe ukisifiwa una kamatika!

No thank you. Sikumaanisha hivyo
 
ur very right brothr..and kam haumsifii ur gal n kumbe kuna msela anampa masifa any tym hata kama hajamuona basi kuna hatar hapo.mim wang hata akivaa kanga 2 anapokea masifa lukuki.
 
hainingii akilini..
yani haunivutii hata chembe, huna vigezo ambavyo natamani mwanaume wangu awe navyo.. but out of kunisifia nikupe??? wala tu jamani.

ingawa kiuhalisia kila binadamu anapenda kusifiwa, sifa zinazokaribiana na ukweli.
 
Hata wewe?
 
AHhaahaahahahahah uuuuhhuhhuhuhu ajaahahahahaha aaaaaahahah yaani ndio mana m na jamii forum dam dam koz humu kuna kila kitu na ndio mana ikawa ni jamii forums ina mambo yote ya jamii zetu zaki TZ
 
Inategemeana na anaesifiwa, kuna watu wameanza kusufiwa tangu wadogo mpaka wamekua wameshazoea, wa ivi utamsifia mpaka kesho hutopata lolote.On the other hand wapo ambao kadri unavimsifia anachanganyikiwa kama vile uyo anaemsifia hajawai kuona wengine.
 
Aaaaaaaaa wapi SIPIGWI FREE P HATA SIKU MOJA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA!

Ukiona unambanjua mwanamke ni coz amefika bei kwako, na kardhika na viwango vyako wala sio sifa ulizotoa, ilikuwa kwenye plan tu ukitaka upewe!

ndo maana mi naamini sana kwamba nyie huwa mnatongoza mno kuliko sisi sema tu hamsemi wazi!kidume unafuraaaaahi umeng'oa kumbe umeng'olewa....dadeki!!
 
Inategemeana na anaesifiwa, kuna watu wameanza kusufiwa tangu wadogo mpaka wamekua wameshazoea, wa ivi utamsifia mpaka kesho hutopata lolote.On the other hand wapo ambao kadri unavimsifia anachanganyikiwa kama vile uyo anaemsifia hajawai kuona wengine.

Shamba linalolimwa na mtoto na mtu mzima ni tofauti!
 
Ukiona demu anakupa just kwa kumpa sifa tu, ujue tayari ulikuwa kwenye rada zake tu, mfumo dume ulimzuia tu...
 
Back
Top Bottom