Wanawake mna nini na hii kitu?

Wanawake mna nini na hii kitu?

uchokoz tu!! enough asee !!!

Angalia usifike huku ....


african-woman-undressing_%7EBLD063422.jpg
 
Mwanaume kua na hela tu uone, watapanga foleni posta hadi tegeta kila size hata sifa huitaji kusifia...
Ukisifia nadhani wanahisi wamepewa utukufu flani vile.. ni kama mwanaume wakija wanaanza kusema ohh handsome, mara body shape iko safi bac na mjinga anaanza kujishebedua... ila wao nao hua wanataka ka wanaume tu tukiwa tunataka... wote ngoma dro
 
Ukweli ni nini?
Ukweli ni kile kinachosemwa kurandana na hali halisi

Ni mara ya pili nakusoma ukiuita mtazamo au hata findings zako ndio Ukweli.
Do you even kow what "finding' is?
Sasa kama ndio ukweli kwanini umeleta watu wajadili?
Nani kakuambia ukweli haujadiliwi
Haya msifie Michelle Obama basi umgegede, au angekuwa hai Mother Theresa.
Just give me acces to them the i will tell you!
 
mkuu nahisi wake za watu huwa wanachoshwa sana na ndoa zao!

hata ikitokea mtu hajawahi kumuona kwa sura, as long as wanachat na kuwa karibu,

any time unakuwa assured ya kitumbua....

men got to change...

Duh! Mkuu inaonekana una ka uzoefu ka hii makitu!
 
Ukweli ni kile kinachosemwa kurandana na hali halisi


Do you even kow what "finding' is?

Nani kakuambia ukweli haujadiliwi

Just give me acces to them the i will tell you!

Hali halisi ni nini? Na according to who, l mean nani ana authority ya kuiita hii ni HALISI.

kuhusu findings, wewe si umesema umefanya utafiti na kutokana na findings zako ndio umekuja na ukweli wako.

Na kwanini maturity ya mtu unaipima kwa kukubaliana na ukweli wako. Pls kama hautajali, usinijibu kwa vipande unapoteza maana.
 
Hali halisi ni nini? Na according to who, l mean nani ana authority ya kuiita hii ni HALISI.
Ha!!!!
Hali halisi si kile unachokiona kinatokea mtaani kwako na ulimwenguni kwa ujumla,au hujui hili?
Nadhani kwa hili pekee hayo maswali yako mengine yanakosa maana kabisa
kuhusu findings, wewe si umesema umefanya utafiti na kutokana na findings zako ndio umekuja na ukweli wako.
Unaweza kuwa hujanielewa
Nilichokuja kuuliza hapa ni sababu ya nyie kufanya hivyo na sio zaidi ya hapo

Read the thread madam
Na kwanini maturity ya mtu unaipima kwa kukubaliana na ukweli wako. Pls kama hautajali, usinijibu kwa vipande unapoteza maana.
A grown up woman shoul know this unajua kwanini?

Kwasababu atakuwa anauzoefu wa kutosha kwa kuliona hili kwake na kwa wanawake wengine kwasababu ndicho kinachotokea kwenye maisha yetu ya kula siku

Unakosea kwa kuniambia nikikujibu kwavipande inakuwa inakosa maana kwasababu nakua najibu kila hoja yako

Au unataka nijibu jumla jumla?
 
Eiyer halisi yangu sio lazima iwe yako.
Halafu wewe unataka tukupe sababu za kufanya ambacho hatufanyi? Sielewi hii maneno. Sikumbuki kumpa yoyote aliyenisifia, ninampa ninaye mpenda. I am grown up woman and l know kuwa ni wanawake wachache sana tena wasiojiamini ndio anaweza mpa mtu kwa kusifiwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer halisi yangu sio lazima iwe yako.
Sijui kama unajua maana ya halisi na kama ungekuwa unajua wala usingesema "halisi yangu" kwasababu hakuna kama hicho

Halisi ni halisi tu na hakuna halisi ya mtu bali kuna halisi tu
Halafu wewe unataka tukupe sababu za kufanya ambacho hatufanyi?
Hatufanyi au haufanyi?

Mbona unakuwa kama unawasemea wengine?
Sielewi hii maneno. Sikumbuki kumpa yoyote aliyenisifia, ninampa ninaye mpenda.
Inawezekana hujawahi kupata wa kukusifia inavyostahili hivyo ukawa hujakutana na hii kitu

Wewe ni mwanamke hivyo utakuwa unajua ninachozungumza labda uwe unataka muda uende tu hapa
I am grown up woman and l know kuwa ni wanawake wachache sana tena wasiojiamini ndio anaweza mpa mtu kwa kusifiwa tu.
Hapa nimekuelewa vizuri sana maana wewe ni mwanamke ......!!

I hope you understand!
 
Yani hizo sifa zinakuwajekuwaje bado sijaelewa! Yan from nowhere unakutana na mtu anakusifia umependeza afu baada ya hapo mnaenda kubanjuka ama??

Zinakuwa za muda mrefu, then yanajengeka mazoea hadi mbafikia huko.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Duh! Mkuu inaonekana una ka uzoefu ka hii makitu!

mkuu mimi ni kijana mdogo lakini napenda sana kufanya researches mbalimbali katika jamii yangu,

it is easy to seduce a married woman than a single lady especially when you have a sweet tongue with no shy!

you will eat them a lot!-- nakumbuka nilishafanya mchezo wa kujikosesha namba ya simu, basi akapokea mwanamke mtu mzima ambae kwa haraka haraka nilijua tu kaolewa! basi nikaingia kwenye 18 baada ya kuzoeana!

mama wa watu kajaa mzima! hmm! kuona hivyo nikakata mawasiliano, nikahamia area B, yale yale!!!!!

hivyo nimegundua kuwa wake za watu wanalika kirahisi hasa wakipata dogo dogo wakware na wenye maneno yasiyo na aibu!
 
Yani hizo sifa zinakuwajekuwaje bado sijaelewa! Yan from nowhere unakutana na mtu anakusifia umependeza afu baada ya hapo mnaenda kubanjuka ama??
Munkari we ni mzuri sana mamy..nimependa tu ilivyo na brain sharp, ni mwanamke mwenye msimamo, muelewa, unajua unachotaka, nmekupenda bure mtoto mzuri..
 
Back
Top Bottom