Wanawake mna nini na hii kitu?

Wanawake mna nini na hii kitu?

nipeni namba ya Madam Ritha wa BSS nimsifie usiku kucha...asubuhi nikale mzgo
 
Handsome-African-American-Man.png

mmmmmh!! Afu huyu akusifie !!! ???? !!!
 
athari hii inawakumba pia wake za watu,

ukimsifia saana mara kwa mara ndio unajipa credit ya kula chema.
 
Hiyo hua inatokea mara nyingi bint ukianza kumsifia mara kwa mara ila inabidi muwe na ukarbu frani yaani utabanjua kiulaini hata mie nisha apply its so easy tena hata hakusumbui!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hiyo hua inatokea mara nyingi bint ukianza kumsifia mara kwa mara ila inabidi muwe na ukarbu frani yaani utabanjua kiulaini hata mie nisha apply its so easy tena hata hakusumbui!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kama ukimkimbiza nyoka kwenye nyasi huwezi kumkamata kamwe lakini kwenye carpet unamkamata kiulaiini!
 
Baadhi ya wake za watu rahisi mno kuwala, sio sababu ya kuwasifia tu. Wengine wako wapweke sana ndoani mwao.

Afu anaona bora aitoe tu nje maana hata ndani inaliwa daile.

athari hii inawakumba pia wake za watu,

ukimsifia saana mara kwa mara ndio unajipa credit ya kula chema.
 
Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!

Bora yako umekuwa muwazi maana wenzio wanabisha, msichana ukimsifia mara nyingi anaingia kingi unamega kiulaini wala hizo mambo za humble, hardworking huwa zinakuja baadaye ushavulia bikini.
 
Aaaaaaaaa wapi SIPIGWI FREE P HATA SIKU MOJA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA!

Ukiona unambanjua mwanamke ni coz amefika bei kwako, na kardhika na viwango vyako wala sio sifa ulizotoa, ilikuwa kwenye plan tu ukitaka upewe!

Nope hii sio kweli women are like molecules wana move freely unapowapa attention na kuwasifiasifia maana kiukweli wanapenda sana sifa na kutokana na kuwasifia wale malimbukeni na wasio jiamini una nafasi ya kuwa banjua haya mambo tuliongelea kwenye topic ya kuchepuka ambapo sifa za kumpa mwanamke zinaangukia kwenye emotional infidelity unahakikisha mwanamke anakuzoea anakuwa part ya maisha yako unakuwa unafanya mambo ambayo una uhakika mmewe au boyfriend wake hafanyi maana na wewe hufanyi kwa mkeo au girlfriend. Tukumbuke kuna mambo ya temporary ambayo hayatakuwapo kila siku mkianza familia tokana na demand ya maisha sasa wanawake hushindwa kutofautisha na kuanza kusema jamaa siku hizi sio kama zamani mfano huwezi kila saa ukawa unapay attention mwanamke kavaa nini ili umsifie bali utasifia mara moja moja au kusifia ananukia vizuri utasifia mara moja moja maana unaishi naye na hayo marashi yamo ndani kwenu sasa kwa watongozaji husifia tu hata hamaanishi kiasi kwamba mwanamke anaanza kuona msifiajia au dreva tax ni wa maana kuliko mwenye tax pia hawakosoi maana anajua anapita tu na wanawake nao huona kutokosolewa eti ni upendo. Listen people anayekupenda atakukosoa maadamu mlikulia familia tofauti lazima kuna tofauti pia ule mtizamo wa gender nyingine ionavyo tofauti, kwa wanawake ukiona mwanaume hakucriticize kwa lolote ili asikuudhi huyo anapita tu hataki akukorofishe maana mwanamke unayetaka kuishi naye kuna principles unaziweka wazi is up to her to take it or not
 
Back
Top Bottom