Ha haa, nimeipenda hiyo 'vichungi vya sigara nyota' Bongo wanawake si wengi wanaovuta sigara.hapo hapo siti za nyuma utakuta hotipoti hazijaoshwa, mitandio, miavuli, magunzi ya mahindi, pea ya viatu, mirungi, miganda ya bablish, vichungi vya sigara nyota, ...