Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

Nimemuuliza mdogo wangu wa kike kuhusu kuosha gari akasema anaosha once per week, comfortably kabisa. Na AC hapendi huwa ananiambia 'kitu natural beib'
 
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE.

Na gari nyingine zina majani ya miti juu ya bodi nadhani sababu ya kupaki chini ya miti na kuendesha bila kuzisafisha, ukiangalia anayeendesha ni MWANAMKE.

WANAWAKE MMEZIDI KUENDESHA MAGARI MACHAFU.

BY: SUPU YA MAWE

Ha ha ha
 
Back
Top Bottom