Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,385
Hiyo mbunye iko mtaa wa saba hadi isioshwe?Hhahaaaa...hao hata mbunye ni shida kuosha
Hiyo mbunye iko mtaa wa saba hadi isioshwe?Hhahaaaa...hao hata mbunye ni shida kuosha
duuh!!!washauri wayanunulie macover kama simu....
hahahahaha.... Mbavu zangu jamanii..hiyo mbunye iko mtaa wa saba hadi isioshwe?
Si vizuri lakini kuendesha gar huku unatetemeka siwezi.... kuishi na stress aisee hapana
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE.
Na gari nyingine zina majani ya miti juu ya bodi nadhani sababu ya kupaki chini ya miti na kuendesha bila kuzisafisha, ukiangalia anayeendesha ni MWANAMKE.
WANAWAKE MMEZIDI KUENDESHA MAGARI MACHAFU.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Si vizuri lakini kuendesha gar huku unatetemeka siwezi.... kuishi na stress aisee hapana
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE.
WANAWAKE MMEZIDI KUENDESHA MAGARI MACHAFU.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Wacha watetemeke kwa kuendesha gari isiyo na bima! Kama ina bima unatetemeka nini sasa?
AISEE...
![]()
life is too short kuwaza vitu kama hivyo... btw #YOLO (YouOnlyLiveOnce)
hapo hapo siti za nyuma utakuta hotipoti hazijaoshwa, mitandio, miavuli, magunzi ya mahindi, pea ya viatu, mirungi, miganda ya bablish, vichungi vya sigara nyota, yaani ni shida tupu. Tuwashauri benki wasitishe mikopo ya magari kwa hawa wadada!!Kama umeshapanda mara kwa mara vigari vya watoto wengi wa kike utagundua ndani ya magari yao wengi kupo rafu sana. Mara makopo ya ice cream chini ya Viti,mara viskuna,mara ma- makeup,mara nguo,n.k ..yaani ni Aibu!
Ukikuta mtu anasafisha gari au gari lake safi sana, ujue mkopo haujaisha.