Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE.

Na gari nyingine zina majani ya miti juu ya bodi nadhani sababu ya kupaki chini ya miti na kuendesha bila kuzisafisha, ukiangalia anayeendesha ni MWANAMKE.

WANAWAKE MMEZIDI KUENDESHA MAGARI MACHAFU.

BY: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Saa nyingine shida si matokeo ya uchunguzi....Na reputation ya mchunguzi pia ni muhimu kuangaliwa.
 
Ubahili wenu hela ya matumizi mnayotupa haitoshi kupeleka gari car wash mara nyingi!
 
Mbona mimi naona kama wao ndio wapo makini kwa kufuta futa ndinga zao kila saa!
 
Mbona mimi naona kama wao ndio wapo makini kwa kufuta futa ndinga zao kila saa!

Wanawake wengi wanajua kujiweka nadhifu wao wenyewe tu. Lakini linapokuja swala zima la magari,hawana interest nayo kabisa. Wengi huamini magari ni issue za wanaume. Ndio maana wapo radhi wapeleke gari car wash ihali nyumbani anamuda + maji yapo ya kutosha.
 
kweli kabisa kaka maana leo maeneo fulani ya njiapanda ya udsm hapa nimekutana na kitu kama hiki nikashangaa sana, na si mara moja mara kibao tuu ukiona gari chafu sana ndani hukosi kuona linaendrshwa na mwanamke ,mjirekebishe
 
hm! hm!

Labda sijakutana nao mimi.

Mkuu, the most neatest cars i ever met in Dar City, belongs to women, i can assure you that!

hebu kwanza nikuulize swali, ushawahi kukutana na magari yaliyoandikwa '' Tafadhali nioshe, nimechoka kukaa na vumbi''?

Labda tungesema wanawake hawako competent katika driving especially katika huge traffic jams, hapo ningekukubalia!

Vigari vyenyewe wanavyoendesha ni hivi vidogo dogo, ist, verrosa, labda prado, wengine wame-advance kwenda Land rovers... imagine sasa ukute gari kama hizo zikiwa chafu!

Gari yenyewe saiz ya kobe! halafu ukute chafu! si itakuwa kichuguu sasa?...

Kama umeshapanda mara kwa mara vigari vya watoto wengi wa kike utagundua ndani ya magari yao wengi kupo rafu sana. Mara makopo ya ice cream chini ya Viti,mara viskuna,mara ma- makeup,mara nguo,n.k ..yaani ni Aibu!
 
mjini hapa lazima uweke heshima mtaani... kila siku we ni daladala ukibadilisha sana bodaboda!!! watoto wazuri utabaki kuwaita shemeji tu

Si vizuri lakini kuendesha gar huku unatetemeka siwezi.... kuishi na stress aisee hapana
 
Back
Top Bottom