Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

Wanawake mmezidi kuendesha magari machafu

hapo hapo siti za nyuma utakuta hotipoti hazijaoshwa, mitandio, miavuli, magunzi ya mahindi, pea ya viatu, mirungi, miganda ya bablish, vichungi vya sigara nyota, yaani ni shida tupu. Tuwashauri benki wasitishe mikopo ya magari kwa hawa wadada!!

Viatu panga pangua lazima viwemo na mwavuli wakati wa mvua hawakosi!
 
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE.

Na gari nyingine zina majani ya miti juu ya bodi nadhani sababu ya kupaki chini ya miti na kuendesha bila kuzisafisha, ukiangalia anayeendesha ni MWANAMKE.

WANAWAKE MMEZIDI KUENDESHA MAGARI MACHAFU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Hapo hujapewa lift ukaona zoezi la kusafisha seat uweze kukaaa! Kuna makorokocho kama dustbin:-(
 
Last edited by a moderator:
hapo hapo siti za nyuma utakuta hotipoti hazijaoshwa, mitandio, miavuli, magunzi ya mahindi, pea ya viatu, mirungi, miganda ya bablish, vichungi vya sigara nyota, yaani ni shida tupu. Tuwashauri benki wasitishe mikopo ya magari kwa hawa wadada!!

Haaaaa...haahhaaaahhh..
 
Girls-vs-Boys-5.jpg Inamaanisha hii nikweli?
 
Hawajui thamani ya magari hayo ndo maana hawataki kuosha!!!!!ukiona mwanamke anajali usafi ujue alinunua.kwa pesa zake
 
Kweli wamezidi magri yao kama utasafisha ndani basi utapata rol zima la mchanga:A S 11:
 
Wanawake magari hayawahusu.
Yametengenezwa kwa ajili ya wanaume tu.
(Naandika kwa hisia)
 
hapo hapo siti za nyuma utakuta hotipoti hazijaoshwa, mitandio, miavuli, magunzi ya mahindi, pea ya viatu, mirungi, miganda ya bablish, vichungi vya sigara nyota, yaani ni shida tupu. Tuwashauri benki wasitishe mikopo ya magari kwa hawa wadada!!

Kumbe sigara nyota ina kichungi!!ha ha hii kali
 
Back
Top Bottom