Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuhusu upendo lzm utapungua..hata tendo halitokua na radha kama zamani..kuhusu kuhudumia ...huduma ni km zipi
Kupika?
Kufua?
Kumnyooshea?
Ss hayo si mambo ya kawaida ambayo ht baba yangu mzazi namfanyia...

Chakula ni hiko hiko tu....
Kosa achepuke halafu asitoe huduma ndani atanitambua mie nani....
Lkn atoe huduma..asiniletee dharau aah maisha yanasonga...
Naweza hama chumba lkn nje ya nyumba yangu hakuna atakayejua km nimehama...
(Kifupi unampiga matukio ndni tu kimya kimya)
Mkitoka nje km sio nyie..atajuta kuchepuka mwenyewe....[emoji28][emoji28]
Haujawajua vyema wanaume.
 
Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond

Habari za leo Noelia
 
Nashauri sanamu yako ijengwe kwenye mji mkuu wa ukraine dada,
Umeongea point ambayo wanawake wengi wanaificha either kinafki au lah,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
1. Inauma sana ujue

3. Ila shida ya nini...wanaume wote hawa...

Siku hizi Ni mwendo wa kujisevia tu......yaani unajivutia wako anaondoa stress...... unafaidi style mpya

Inafika kipindi unaona kabisa atajijua mwenyewe.... auze mechi asiuze sio shida zako..

...........kila mtu atumie sehemu zake za siri vile impendezavyo!!!!!!

Asprin asisome hapa!!!!+
Lord have mercy

Kwani siku hizi umekuja kuwaje?

Huko nyuma hukuwa hivi...
 
Kasalitiwa Beyonce ije kuwa mimi kapuku,, ikitokea umemfuma ni bahati mbaya tu ila kumuacha baada ya kumfuma sio wazo zuri maana kumpata wa peke yako ni mushkeli labda ukatambike
Safi naona somo limeanza kuingia baada ya miaka kadhaa naona kabisa ndoa za wake watatu watatu.
 
Unakuwaga na mawazo yako spesho,, naona unataka kuhamisha mada
Sasa tangu lini mawazo ya kawaida yakaleta mabadiliko chanya....lazima uwe na mawazo spesho bwana.

Mie napenda san mwanamke anapokubali ukweli kuwa mwanaume kushare ni lazima na kwamba kuvunja ndoa kisha kuchepuka kwa mume huo ni ujinga. Wanawake kama wewe wanapaswa kuoelekwa maldives.
 
Lini Sasa tunaenda huko Maldives 😂😂
 
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza?

Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?

Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?

Naombeni kuwasilisha mada mezani.

Focus na wewe na Mtoto ignore his behavior build your life and don’t sleep with him
 
Back
Top Bottom