Kwenda kumla mwingine basi...kwamba upendo umehama..( kwa wajinga ambao wanahama na upendo)Ila kuwa mkweli basi...kinachouma ni kweli kule kugegeda mbususu nyingine au ile kwamba jamaa hela anatumia huko ambayo ungetumia weye au nini haswa kinafanya roho iume?
Inategemea na uzi....Ooh Lord, kumbe wewe ni Ke?
Kumbe nawe ni sexless eeInategemea na uzi....
Hahaaaakumbe nawe ni sexless ee
Umenena vyema.Focus kwenye lengo lako kama ni watoto au kuijenga ndoa yako the rest hazitokupa shida ,zione na ziache kama zilivyo ila hakikisha amejua umegundua anacheat afu we ndelea na maisha kawaida yaani
Km ndani unanyimwa mpk 6 month ufanyeje ssKusaliti pia nijambo linalohitaji hulka sio kila mwanaume ancheat ila pia ukianza kujaribu huaachi kama hujawahi bora uache
Hivi kuna wanawake mnanyimwa unyumba pia , mimi najua ni wakina baba pekee ndiyo tunapitia shida hiyo maana wakina mama hupoteza hamu baada ya hormones kupunguaKm ndani unanyimwa mpk 6 month ufanyeje ss
Unapotezjaje mvuto kwa mumeoKm ndani unanyimwa mpk 6 month ufanyeje ss
hapana nilimaanisha mwanaume!Hivi kuna wanawake mnanyimwa unyumba pia , mimi najua ni wakina baba pekee ndiyo tunapitia shida hiyo maana wakina mama hupoteza hamu baada ya hormones kupungua
Sikumaanisha mimi mkuu!Unapotezjaje mvuto kwa mumeo
Kwa mwanamke alie na mtoto mara nyingi haya huwatokea,hapana nilimaanisha mwanaume!
Hivi ni kweli hormone huwa zinapungua ndo zinasababisha mwanamke asijisikie? Mpk muda wote huo?!!![emoji848]
Ila kesi ya aina hii kwa mwanamke namfahamu mmoja tu,mume anazingua mke hata aombe hapewi!
Kumbee!?? Okay!Kwa mwanamke alie na mtoto mara nyingi haya huwatokea,
Itakua unapenda sana mikuno wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbee!?? Okay!
Mungu anisaidie nisije poteza hii hamu ,sitaki kabisaa
Unaita mafeminist ili pachimbike au !?
Huyo anayemla hana kosa..lbd awe mtu wako wa karibu...
Deal na mume kisawa sawa...mkomeshe humo ndn mpk ajute
Mme akomeshwi dada,
mtengenezee tu mazingira ajutie kosa lake, na sio kumkomesha
Namimi sitokubal ujue nachepuka, ndo maana tunajificha[emoji26]
Utalipiza mara ngapi? Unaweza jikuta ndio unajizidishia matatizo kwenye hicho kisasi chako
1. Inauma sana ujue
3. Ila shida ya nini...wanaume wote hawa...
Siku hizi Ni mwendo wa kujisevia tu......yaani unajivutia wako anaondoa stress...... unafaidi style mpya
Inafika kipindi unaona kabisa atajijua mwenyewe.... auze mechi asiuze sio shida zako..
...........kila mtu atumie sehemu zake za siri vile impendezavyo!!!!!!
Asprin asisome hapa!!!!+