Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Mkuu, kama imani inamruhusu, siku akiweka ndani mwenzio mazima itakuwaje?
Haina shida anitimizie tu mahitaji yangu hii nishawahi mwambia uzinifu zitaki wewe ukiona uwezo unaruhusu ata saba oa ila mahitaji yangu lazima yatimizwe kuliko kuchepuka.
 
Haya mambo hutakiwi ht kuyatia kichwan...jiweke 50/50 ...kwamba anaweza..lkn pia hawezi..
Sasa wewe jiaminishe mume wangu hachepuki na hatochepuka..siku likikuta jambo unaumia...
Ila ukijiweka katikati...ht stress hupati.. ilimradi nyumban anahudumia vzr....hakutesi...we usiwaze...

Sasa km ndo umegundua kakucheat...hakikisha anajua kwamba umejua ana cheat..kisha endelea na life yako na watoto wako...humo humo ndn...
Hamna kuondoka wala nn...[emoji1787][emoji1787]

We jifanye mjinga siku moja muulize mama yako je baba hajawahi kukucheat..usikie majibu yake....
Wanaume hawa waache hivi hivi ukifatilia utaumia mama ..life is short
Je yeye mnaendelea kupendana? Je tendo unampa? Yan unasamehe tu unaendelea kumuhudumia kama mume?
 
Muache kuwanyima waume zenu haki zao za ndoa, vyenginevyo mtaachwa mlee watoto kwa wale mliobahatika kuzaa na wale ambao hawana watoto mtatafutiwa sababu muachike .

Wanaume hawependi kuyumbishwa kwenye ike shughuli. Nyie mkidaiwa mnajitia pirika wenzenu nje wakitafutwa tuu wako available.

Wanaume wanasikitika hamuwajibiki ipasavyo. Kwakijisinguzia kutojisikia mwisho wa siku waume wanahamishia hamu zao kwa wadada wa kazi na wadogo zenu. Acheni ujinga wa kujiona mshawahi.
 
Pole sana ila cha kwanza kabisa usiguse simu yake kwan nina imani unampenda na hutaman kuachana nae.Pia usijipe [emoji817] kwamba mumeo hawez kukuchit,hao pia ni binadam na wameumbiwa tamaa hivyo kutaman wanawake wengine sio jambo geni kwao.

Pia fanya majukum yako,ongeza upendo walee watoto wenu vzr usirihusu amani itoweke,muombee sana Mungu pekee ndie mwenye uwezo wa kubadil tabia ya mwanadam.

Pia kama anatimiza majukum yake kama baba wa familia na anakuheshim mshukuru Mungu.

Usikubali habari za kuletewa kuhusu mume wako,watu wengine wapo kwa ajil ya kuvuruga aman yenu hivyo kila usikialo lichuje sana kabla hujalifanyia maamuz.
 
Wakati nipo kwenye mahusiano ya uboifrendi na ugelofrend nilipogundua Hilo nilichapa LAPA..sijui kwenye ndoa itakuaje Jamani
Nasoma comments
 
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
tulizana wewe, hakunaga mwenye mume wake. Eti mume wako, ulimzaa wewe? Hili aliskika akisema mrembo Jacklin Wolper.
 
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
tulizana wewe, hakunaga mwenye mume wake. Eti mume wako, ulimzaa wewe? Hili aliskika akisema mrembo Jacklin Wolper.
 
Haya mambo hutakiwi ht kuyatia kichwan...jiweke 50/50 ...kwamba anaweza..lkn pia hawezi..
Sasa wewe jiaminishe mume wangu hachepuki na hatochepuka..siku likikuta jambo unaumia...
Ila ukijiweka katikati...ht stress hupati.. ilimradi nyumban anahudumia vzr....hakutesi...we usiwaze...

Sasa km ndo umegundua kakucheat...hakikisha anajua kwamba umejua ana cheat..kisha endelea na life yako na watoto wako...humo humo ndn...
Hamna kuondoka wala nn...[emoji1787][emoji1787]

We jifanye mjinga siku moja muulize mama yako je baba hajawahi kukucheat..usikie majibu yake....
Wanaume hawa waache hivi hivi ukifatilia utaumia mama ..life is short
Sasa kumbe mnakuwa ana akili ila mnajidaigi machizi.

Mwanamke anayevunja ndoa yake kisa mume kala mbususu nyingine ni mjinga wakutupwa
 
Mimi nilipojua mara ya kwanza niliumia sana tena sana mana niliamini hawezi nisaliti kamwe mana mi hizo mishe sina wala siwazi,
Nna besti nnaemuamini nilimshirikisha tukafanya maombi ili Mungu aniondolee maumivu,from there sasa hivi sifatilii chochote akitoka siulizi anaenda wapi wala sifatilii!

Niko busy na kulea watoto na mishe zangu,nakula nashiba na hakikisha unapendeza usibaki nyuma kimuonekano!

Sasa nimemove on maumivu yameisha,nampikia nikiwa na nguvu zangu na mengine yanipasayo nafanya ila kumfatilia issa no!maisha yanaenda vizuri tu kwakweli no stress,

Ukitaka kuvuka jipe muda upone nafsi yako then ukishapona usimfatilie tena,jiweke busy na mambo yako ila tu usimvunjie heshima as long as bado anakuthamini na kukupa heshima kama mkewe,atapoacha kukuthamini na kukuheshimu sepa mama usije kufa kisa mtoto wa mtu!
 
Back
Top Bottom