DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Mme akomeshwi dada,Huyo anayemla hana kosa..lbd awe mtu wako wa karibu...
Deal na mume kisawa sawa...mkomeshe humo ndn mpk ajute
mtengenezee tu mazingira ajutie kosa lake, na sio kumkomesha
Mme akomeshwi dada,Huyo anayemla hana kosa..lbd awe mtu wako wa karibu...
Deal na mume kisawa sawa...mkomeshe humo ndn mpk ajute
Huwezi amini hata mayele simjui, ila najua kutetemaSawa wee simba ila usisahau kutetema kama mayele ukiwa uchi mbele ya mumeo...infact wanawake wote wanapaswa kuijua hii style
Sahii kabisa,Siwezi kumkomesha mume hapo Ni kuchagua moja kati ya kumsamehe ama kumuacha kuliko kuishi na mume kimkomoano
[emoji848][emoji26]Nilipasua Simu yake
Ugomvi mkubwa
Nikakusanya virago nikaondoka
It broke me into pieces and turn me to what I am today.
Sahii kabisaWee mpee tuu ata akitaka wakati wa period wee mpe tuu aburudike bwana
Namimi sitokubal ujue nachepuka, ndo maana tunajificha[emoji26]Mi ndo ningekuwa mkeo mchep wako ningeuroga tu au kuufutilia mbali
Mkeo itakuwa mpole wa kumuachia Mungu mi kiukweli kwa huo mchep wako na nijue ya Kwanza unizuge na Bado nijue mnaendelea,, ningeufutilia mbaliNamimi sitokubal ujue nachepuka, ndo maana tunajificha[emoji26]
Utalipiza mara ngapi? Unaweza jikuta ndio unajizidishia matatizo kwenye hicho kisasi chakoTiba ya usaliti ni kisasi.
Inawezekana piaAnachepuka vizuri sana sema yeye ana akili ndio maana hujawahi kujua nukta
nipo hapa babie , fiston mayele mwenywHuwezi amini hata mayele simjui, ila najua kutetema
nimekupenda bure,aachwi mtu hapa afe kipa afe bekiHalafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,
Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
Wewe bwana siku hizi umekuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23]1. Inauma sana ujue
3. Ila shida ya nini...wanaume wote hawa...
Siku hizi Ni mwendo wa kujisevia tu......yaani unajivutia wako anaondoa stress...... unafaidi style mpya
Inafika kipindi unaona kabisa atajijua mwenyewe.... auze mechi asiuze sio shida zako..
...........kila mtu atumie sehemu zake za siri vile impendezavyo!!!!!!
Asprin asisome hapa!!!!+
Married with 2 kids best....[emoji38]Aiseee kumbe wanawake wenye akili mpo....kama hujaolewa aisee ebu taja mahari bei gani nijilipue
[emoji1][emoji1][emoji1]Hii Comment ifanyiwe lamination[emoji4]
Huko kumkomesha sio kwa ubaya....ni namna tu ya kumfanya ajute...[emoji28][emoji1787]Mme akomeshwi dada,
mtengenezee tu mazingira ajutie kosa lake, na sio kumkomesha
Kha so wanawake wote wenye akili wameolewa tumeachjwa mibonzoo tuhangaike nayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Married with 2 kids best....[emoji38]
Sasa ukikuta huyo anatako kuliko wewe itakuwaje🤔🤔🤔🤔nimekupenda bure,aachwi mtu hapa afe kipa afe beki
Haha haha wapo bana..ss hivi si mnadeal na vitoto vya 2000s..wenyewe mnasema wabichi[emoji2][emoji2]....japo kilomita wengine wametuzidi....sisi wa enzi za mwinyi tuko zetu ndoani....Kha so wanawake wote wenye akili wameolewa tumeachjwa mibonzoo tuhangaike nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]