Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Mchepuko hana kosa kivipi wakati anajua jamaa ni mume wa mtu na Pengine harusi yao alihudhuria na pengine mke wa ndoa amekuwa akimuonya mara nyingi lakini hakutaka kuachana na mume wa mtu?

Katika muktadha huo anapaswa kuwakomesha wote mume na mchepuko wake ni kuwapiga mwanaukome!
Mchepuko hana kosa siku zote, wengi wao huwa stress relievers wa yanayotokea ndani ya ndoa
 
Mchepuko hana kosa siku zote, wengi wao huwa stress relievers wa yanayotokea ndani ya ndoa


Hana kosa kwa kuharibu ndoa za watu na kuzivunja kabisa?

Hana kosa kwa kumrubuni mume wa mtu na kumuibia fedha ambazo zingetumika kwa maendeleo ya familia na nduguze?

Hana kosa kwa kumroga mume wa mtu kumpumbaza akili ili afanye anavyotaka?

Hana kosa kwa kumroga mke wa ndoa kupitia Mwanaume ili mambo yaharibike?

Hana kosa wakati target ya mchepuko kubwa ni kuona ndoa inavunjuka ili yeye apewe kipaombele cha kuwa mke Kamili?
 
Back
Top Bottom