Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
Umeolewa na miaka 25 hongera.

#YNWA
 
Je yeye mnaendelea kupendana? Je tendo unampa? Yan unasamehe tu unaendelea kumuhudumia kama mume?

Nikuulize kabla hata ya yeye kuchepuka tendo ulikuwa unampa?je ushirikiano ilikuwa asilimia ngapi?je ulikuwa unaanza sex wewe au yeye???

Unajua kitu msichokijua wengi wenu nyie ni kwamba wanaume wa siku hizi sio malaya sana kama mnavyodhani ili ukweli ni kwamba wanawake hamfanyi wajibu wenuuu kabisaaaa hasa mkiolewaa.

Maisha ni magumu sana kuwaza sex mda wote ila cha ajabu bado wake zetu hawawezi kuturidhisha hata kwa hiyo mara 3 kwa week ni mtihani.

Sasa ni either akusaliti au aanze kukupiga bila sababu km sio kuacha kutoa huduma maana huna faida km utoi sex ,uselessss kabisaaaaa.

Hata wewe nikikuuliza hapo lini ulianzisha wewe kuomba sex kwa mumeo?huwezi jibu hilo swali.

Wanaume sisi sex ni muhimu sana usigejidanganya kufua,kupika na kuchekeana na mumeo utamzuia kukusaliti Hapana plenty of sex itamzuia kwa 75% mwanaume asisaliti.25% ni asili tu ya mtu.

Ofcourse tuna tamaa ila mwanaume akipewa sex ya kutosha anapuuza umalaya na kuanza ku fucos na vitu vya msingi.

Mwanamke mwenye mbayaaa sijui ht umempendea nini!!!jibu ni sex tu huyo na ubaya wake ana high libido anaonyesha kuenjoy sex, she is worth more than you hasa kipindi mwanaume akiwa na nyege.
 
FB_IMG_16453822942415627.jpg
 
Je yeye mnaendelea kupendana? Je tendo unampa? Yan unasamehe tu unaendelea kumuhudumia kama mume?
Kuhusu upendo lzm utapungua..hata tendo halitokua na radha kama zamani..kuhusu kuhudumia ...huduma ni km zipi
Kupika?
Kufua?
Kumnyooshea?
Ss hayo si mambo ya kawaida ambayo ht baba yangu mzazi namfanyia...

Chakula ni hiko hiko tu....
Kosa achepuke halafu asitoe huduma ndani atanitambua mie nani....
Lkn atoe huduma..asiniletee dharau aah maisha yanasonga...
Naweza hama chumba lkn nje ya nyumba yangu hakuna atakayejua km nimehama...
(Kifupi unampiga matukio ndni tu kimya kimya)
Mkitoka nje km sio nyie..atajuta kuchepuka mwenyewe....[emoji28][emoji28]
 
Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
Huyo anayemla hana kosa..lbd awe mtu wako wa karibu...
Deal na mume kisawa sawa...mkomeshe humo ndn mpk ajute
 
Muache kuwanyima waume zenu haki zao za ndoa, vyenginevyo mtaachwa mlee watoto kwa wale mliobahatika kuzaa na wale ambao hawana watoto mtatafutiwa sababu muachike .

Wanaume hawependi kuyumbishwa kwenye ike shughuli. Nyie mkidaiwa mnajitia pirika wenzenu nje wakitafutwa tuu wako available.

Wanaume wanasikitika hamuwajibiki ipasavyo. Kwakijisinguzia kutojisikia mwisho wa siku waume wanahamishia hamu zao kwa wadada wa kazi na wadogo zenu. Acheni ujinga wa kujiona mshawahi.
Wala sio sababu..mwanaume ht umpe asubh na jioni ameumbwa haridhiki na k moja.

Hlf usitupe lawama hatujishughulishi..mke unaweza ukawa na tekinik zote lkn nyie mkija no romance no wat..ni pah pah unamwaga unalala hata hamu na wewe inakua haipo..maana raha ya penzi mridhishane.

Km ni siri ulikua hujui nakupa...na nyie msibweteke

Ss na nyie mnagongewa kwa style hiyo..wenzenu huko nje wanawashughulikia wake zenu km vigoli...anapewa raha zote
Unarudi home umelewa

Unalala na mijasho

Kuna wengine wanawanyima bila sababu sikatai..ila na nyie mnachangia...
Ukinyimwa jiulize why.....
 
Sasa kumbe mnakuwa ana akili ila mnajidaigi machizi.
Mwanamke anayevunja ndoa yake kisa mume kala mbususu nyingine ni mjinga wakutupwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kuna ambao akili hawana....
We cheat huko ila heshima yangu tunza...penda familia yako ..hakikisha unalinda afya ya familia sio unajiachia nje hovyo uokote magonjwa.
Kifupi chepuka kwa akili. Usilete dharau kwa mke....

Mi nakuacha km ulivyo....ukichoka utaaacha
 
Aiseee kumbe wanawake wenye akili mpo....kama hujaolewa aisee ebu taja mahari bei gani nijilipue
 
Back
Top Bottom