Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Ile ya mbuzi sio kuzini.

Wale wanachofanya kinaitwa kulala na wanyama

Zinaa ni kwa wanadamu
Kwahiyo mwanaune mwenye akili anatakiwa azini na msichana..... nimekuelewa sana mama D
 
Kasalitiwa Beyonce ije kuwa mimi kapuku,, ikitokea umemfuma ni bahati mbaya tu ila kumuacha baada ya kumfuma sio wazo zuri maana kumpata wa peke yako ni mushkeli labda ukatambike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo ni kweli, ila ni ngumu na inauma.
 
Ukishajua mwenzako ana cheat usifanye malipizi inauma lakini utapona tu, hakuna maumivu yasiyopoa, utapona tu cha msingi nikujianda ki akili na kihisia, ikishatokea imetokea yakabili tu
Jaribu kufunguka zaidi, bado sijakuelewaa vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo ni kweli, ila ni ngumu na inauma.
Kuna sehemu nimeandika inauma sana tu, maamuzi ni kumuacha ama kumsamehe, na ukiamua kumuacha utakuwa na mwingine nae ukigundua usaliti unamuacha? Njia bora ni kumsamehe lainisha moyo kumsamehe tu vinginevyo unaweza hata kumuua, na hatia ya kuua itakuandama miaka yote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli yaan
 
Jaribu kufunguka zaidi, bado sijakuelewaa vizuri.
Kuna ile dhana unataka kulipiza kwa kuwa mpenzi wako amekuasaliti na wewe unataka kusaliti, ila kumbuka hakunaga revange ya hovyo kama kulipiza kucheat kwa kuwa upo desperate utampa kila mtu na baadae utaanza majuto na yatakuumiza nafsi na mawazo zaidi utagundua hivi kwanini nilifanya hivi...
 
Huyo anayemla hana kosa..lbd awe mtu wako wa karibu...
Deal na mume kisawa sawa...mkomeshe humo ndn mpk ajute
Yaani unikomeshe ndani ya nyumba yangu hao maboya sujui mnawaokoteaga wapi.
 
Kuhusu upendo lzm utapungua..hata tendo halitokua na radha kama zamani..kuhusu kuhudumia ...huduma ni km zipi
Kupika?
Kufua?
Kumnyooshea?
Ss hayo si mambo ya kawaida ambayo ht baba yangu mzazi namfanyia...

Chakula ni hiko hiko tu....
Kosa achepuke halafu asitoe huduma ndani atanitambua mie nani....
Lkn atoe huduma..asiniletee dharau aah maisha yanasonga...
Naweza hama chumba lkn nje ya nyumba yangu hakuna atakayejua km nimehama...
(Kifupi unampiga matukio ndni tu kimya kimya)
Mkitoka nje km sio nyie..atajuta kuchepuka mwenyewe....[emoji28][emoji28]
Yaan mwanamke nnaekupanda unipige matukio ndani ya nyumba yangu, hiiiii...baghoshaaa.
 
Haya mambo hutakiwi ht kuyatia kichwan...jiweke 50/50 ...kwamba anaweza..lkn pia hawezi.

Sasa wewe jiaminishe mume wangu hachepuki na hatochepuka..siku likikuta jambo unaumia.

Ila ukijiweka katikati...ht stress hupati.. ilimradi nyumban anahudumia vzr....hakutesi...we usiwaze.

Sasa km ndo umegundua kakucheat...hakikisha anajua kwamba umejua ana cheat..kisha endelea na life yako na watoto wako...humo humo ndn.
Hamna kuondoka wala nn.

We jifanye mjinga siku moja muulize mama yako je baba hajawahi kukucheat..usikie majibu yake.

Wanaume hawa waache hivi hivi ukifatilia utaumia mama ..life is short
Umekomaa binti, bora watuache hivi hivi wasiwaze sana
 
Kuna ile dhana unataka kulipiza kwa kuwa mpenzi wako amekuasaliti na wewe unataka kusaliti, ila kumbuka hakunaga revange ya hovyo kama kulipiza kucheat kwa kuwa upo desperate utampa kila mtu na baadae utaanza majuto na yatakuumiza nafsi na mawazo zaidi utagundua hivi kwanini nilifanya hivi...
Ouk hapo nimekuelewa vizuri mno.
 
Yaani unikomeshe ndani ya nyumba yangu hao maboya sujui mnawaokoteaga wapi.
Shida mmeoa maboya yasojishughlisha..kila kitu mme wangu
Hata kukuuliza anogopa.....[emoji3][emoji3]

Eti nyumba yako khaaa ....
Selfsheness.....

Means bi dada hana chake woiiii. .
Aisee achangamke...huyo naona atatolewa nje na nguo zake tu[emoji1787][emoji1787]

sisi wenzenu tunajenga na kufanya maendelea na waume zetu.
.ndio maana ht wakichepuka wanachepuka kwa adabu na heshima hawatuonyeshi..sababu wanaheshimu michango yetu ....na wanajua mambo makubwa tulofanya nao...
.

Hlf sio kwamba ni maboya..ni wanaume walolelewa wakaleleka ...wanajua nini maana ya mke .....[emoji1787][emoji1787]
Uanaume wake uko pale pale....
Ht ukizingua anakuzingua...hakuchekei....
 
Ni swala la timing tu!

Ishini na wake zenu kaa akili na siyo mabavu.
U nailed it...hlf wengi sijui matukio wanachukulia ni jinai tu

Nisipokunyooshea...
Nisipokupikiaa
Nispokufulia

Nikuchunia nikahama na chumba...
Nikikunyima sex etc
yote hayo ni matukio ....
Ss it depend lipi mkeo ataamua kukufanyia...

Waache mabavu..uchepuke na kunionyesha dharau hlf upewe huduma za kifalme[emoji1787]..

Weeee....na ndani siondoki.
 
Back
Top Bottom