lovel
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 413
- 1,105
Roho itaumaaa...japo with tym unarelax..maana wengi wanakuaga hawana akili..atamgegeda muda tu anamuacha [emoji2]Sasa ukikuta huyo anatako kuliko wewe itakuwaje[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Kumbe roho zinawaumaaa🤣🤣🤣🤣Roho itaumaaa...japo with tym unarelax..maana wengi wanakuaga hawana akili..atamgegeda muda tu anamuacha [emoji2]
Ila kuwa mkweli basi...kinachouma ni kweli kule kugegeda mbususu nyingine au ile kwamba jamaa hela anatumia huko ambayo ungetumia weye au nini haswa kinafanya roho iume?Roho itaumaaa...japo with tym unarelax..maana wengi wanakuaga hawana akili..atamgegeda muda tu anamuacha [emoji2]
Sijui kwa nini hapa jamii forum maoni kama haya yana achwa yanapita tu.Muache kuwanyima waume zenu haki zao za ndoa, vyenginevyo mtaachwa mlee watoto kwa wale mliobahatika kuzaa na wale ambao hawana watoto mtatafutiwa sababu muachike .
Wanaume hawependi kuyumbishwa kwenye ike shughuli. Nyie mkidaiwa mnajitia pirika wenzenu nje wakitafutwa tuu wako available.
Wanaume wanasikitika hamuwajibiki ipasavyo. Kwakijisinguzia kutojisikia mwisho wa siku waume wanahamishia hamu zao kwa wadada wa kazi na wadogo zenu. Acheni ujinga wa kujiona mshawahi.
Ubarikewe sana, na naamini mtafika mbali mno kwa aina ya moyo ulio nao.Mimi nilipojua mara ya kwanza niliumia sana tena sana mana niliamini hawezi nisaliti kamwe mana mi hizo mishe sina wala siwazi,
Nna besti nnaemuamini nilimshirikisha tukafanya maombi ili Mungu aniondolee maumivu,from there sasa hivi sifatilii chochote akitoka siulizi anaenda wapi wala sifatilii!
Niko busy na kulea watoto na mishe zangu,nakula nashiba na hakikisha unapendeza usibaki nyuma kimuonekano!
Sasa nimemove on maumivu yameisha,nampikia nikiwa na nguvu zangu na mengine yanipasayo nafanya ila kumfatilia issa no!maisha yanaenda vizuri tu kwakweli no stress,
Ukitaka kuvuka jipe muda upone nafsi yako then ukishapona usimfatilie tena,jiweke busy na mambo yako ila tu usimvunjie heshima as long as bado anakuthamini na kukupa heshima kama mkewe,atapoacha kukuthamini na kukuheshimu sepa mama usije kufa kisa mtoto wa mtu!
Na wee nae umeolewa tayari au jimbo lipo wazi🤔🤔🤔Nikigundua nakumbuka kitu kinaitwa nature
Ninasamehe na kumkumbusha awe makini pia kuna magonjwa.
Lakini pia ajaribu kumtimizia mahitaji yake ya mwili kadri inavyowezekana ili chain isiwe kubwa mwisho msijue maradhi yametoka wapi.
Mwisho kucheat kwangu halijawahi kuwa kosa na halitakuja kuwa kosa. Sihalalishi wanaume kuchepuka ila ni kitu ambacho karibu 90% ya wanaume Wanacheat, sasa utabadilisha wangapi?
Ili mradi, upendo uwepo, atimize majukumu, aniheshimu, asininyanyase
Asante mkuu, naomba nishuhudie mimi kama ulivyo sema, siwezi kusema hapa ninayopitia kwa ajili ya heshima.Nikuulize kabla hata ya yeye kuchepuka tendo ulikuwa unampa?je ushirikiano ilikuwa asilimia ngapi?je ulikuwa unaanza sex wewe au yeye???
Unajua kitu msichokijua wengi wenu nyie ni kwamba wanaume wa siku hizi sio malaya sana kama mnavyodhani ili ukweli ni kwamba wanawake hamfanyi wajibu wenuuu kabisaaaa hasa mkiolewaa.Maisha ni magumu sana kuwaza sex mda wote ila cha ajabu bado wake zetu hawawezi kuturidhisha hata kwa hiyo mara 3 kwa week ni mtihani.Sasa ni either akusaliti au aanze kukupiga bila sababu km sio kuacha kutoa huduma maana huna faida km utoi sex ,uselessss kabisaaaaa.
Hata wewe nikikuuliza hapo lini ulianzisha wewe kuomba sex kwa mumeo?huwezi jibu hilo swali.
Wanaume sisi sex ni muhimu sana usigejidanganya kufua,kupika na kuchekeana na mumeo utamzuia kukusaliti Hapana plenty of sex itamzuia kwa 75% mwanaume asisaliti.25% ni asili tu ya mtu.
Ofcourse tuna tamaa ila mwanaume akipewa sex ya kutosha anapuuza umalaya na kuanza ku fucos na vitu vya msingi.
Mwanamke mwenye mbayaaa sijui ht umempendea nini!!!jibu ni sex tu huyo na ubaya wake ana high libido anaonyesha kuenjoy sex, she is worth more than you hasa kipindi mwanaume akiwa na nyege.
[emoji108][emoji108]Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,
Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
Yaani hapa unavyoongea nina rfk angu jmn alioa ukanda wetu pendwa jmn kaka anateseka[emoji119]Muache kuwanyima waume zenu haki zao za ndoa, vyenginevyo mtaachwa mlee watoto kwa wale mliobahatika kuzaa na wale ambao hawana watoto mtatafutiwa sababu muachike .
Wanaume hawependi kuyumbishwa kwenye ike shughuli. Nyie mkidaiwa mnajitia pirika wenzenu nje wakitafutwa tuu wako available.
Wanaume wanasikitika hamuwajibiki ipasavyo. Kwakijisinguzia kutojisikia mwisho wa siku waume wanahamishia hamu zao kwa wadada wa kazi na wadogo zenu. Acheni ujinga wa kujiona mshawahi.
Nakazia[emoji375]Unakaa na mwanamke hataki kuguswa miezi kadhaa,, unahamia nyumba nyingine moja Kwa moja.
Tena ieleweke kwamba, hitaji la lazima Kwa mwanaume katika ndoa au mahusiano ni sex!
Yaani nimecheka lkn ndo ukweliNikuulize kabla hata ya yeye kuchepuka tendo ulikuwa unampa?je ushirikiano ilikuwa asilimia ngapi?je ulikuwa unaanza sex wewe au yeye???
Unajua kitu msichokijua wengi wenu nyie ni kwamba wanaume wa siku hizi sio malaya sana kama mnavyodhani ili ukweli ni kwamba wanawake hamfanyi wajibu wenuuu kabisaaaa hasa mkiolewaa.Maisha ni magumu sana kuwaza sex mda wote ila cha ajabu bado wake zetu hawawezi kuturidhisha hata kwa hiyo mara 3 kwa week ni mtihani.Sasa ni either akusaliti au aanze kukupiga bila sababu km sio kuacha kutoa huduma maana huna faida km utoi sex ,uselessss kabisaaaaa.
Hata wewe nikikuuliza hapo lini ulianzisha wewe kuomba sex kwa mumeo?huwezi jibu hilo swali.
Wanaume sisi sex ni muhimu sana usigejidanganya kufua,kupika na kuchekeana na mumeo utamzuia kukusaliti Hapana plenty of sex itamzuia kwa 75% mwanaume asisaliti.25% ni asili tu ya mtu.
Ofcourse tuna tamaa ila mwanaume akipewa sex ya kutosha anapuuza umalaya na kuanza ku fucos na vitu vya msingi.
Mwanamke mwenye mbayaaa sijui ht umempendea nini!!!jibu ni sex tu huyo na ubaya wake ana high libido anaonyesha kuenjoy sex, she is worth more than you hasa kipindi mwanaume akiwa na nyege.
Najaribu kuunga nukta kama vile unanizungumzia mimi!Yaani hapa unavyoongea nina rfk angu jmn alioa ukanda wetu pendwa jmn kaka anateseka[emoji119]
Mwanamke visingizioo kila siku almost 6 month now....hapewi tunda! Duh
Ss namuuliza au ulichepuka akakufuma, anasema hapana,sina mtu mimi!
Au Ulimuudhi,anasema nimefanya kila njia kumbembeleza,kujishusha wapi,namuuliza nimekos nn tuongee anasema hujanikosea kitu,au kuna shida eti hakuna shida!
Ss mkaka ndo wale huwa hawawezi kuongea sio mkali,hapigi ,mkimya! Anaugulia tu!
Ss amedhoofu jmn! Hana raha,full stress!
Wanawake jmn hata km tuligombana na hawa watu tusiwanyime,lzm atafute plan b,na huko wanakutanaga na majanga wakati mwingine!
Pole sana..lait ungejua hakuna mwanaume malaika ungezidisha upendo...so huko uliko umepata hao malaika wenzio?Nilipasua Simu yake
Ugomvi mkubwa
Nikakusanya virago nikaondoka
It broke me into pieces and turn me to what I am today.
Jamani!Najaribu kuunga nukta kama vile unanizungumzia mimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najaribu kuunga nukta kama vile unanizungumzia mimi!
Pole sana..lait ungejua hakuna mwanaume malaika ungezidisha upendo...so huko uliko umepata hao malaika wenzio?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasalitiwa Beyonce ije kuwa mimi kapuku,, ikitokea umemfuma ni bahati mbaya tu ila kumuacha baada ya kumfuma sio wazo zuri maana kumpata wa peke yako ni mushkeli labda ukatambikenimekupenda bure,aachwi mtu hapa afe kipa afe beki
Kama inasaidia kwa 75% kutulia tutawapa tu ila vinginevyo hapana,,Tupeni mzigo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe endelea na ndoa yako, so long anakujali na maisha ya kawaida yanaendelea acha kutafuta matatizo utajajuta bure, angekuwa hakupendi wala usingekuta upo mpaka uje ukagundue mchepuko, hivyo ndivyo tulivyo wanaume.Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan