Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Anza kutia akili mapema @ Mleta mada.

Kama Kuna anaekuimbisha na unaona kama unahisia naye na kumpenda anza kumuelewa kidogo kidogo usimkatishe tama.

Hao ndio huwa caretaker wa utakapotendwa pakubwa!

Ilimradi usikurupuke ukaenda kwa marios kujidhalilisha.

Awe mtu wa hadhi yako au kukuzidi wewe !

Pia kuwa makini na maswala ya afya yako.

Maisha ni mazuri usalama wa afya yako ya mwili na akili uwe kipaombele chako.
 
Mchepuko hana kosa kivipi wakati anajua jamaa ni mume wa mtu na Pengine harusi yao alihudhuria na pengine mke wa ndoa amekuwa akimuonya mara nyingi lakini hakutaka kuachana na mume wa mtu?

Katika muktadha huo anapaswa kuwakomesha wote mume na mchepuko wake ni kuwapiga mwanaukome!
Kuna wanaume hawavai ht pete..anasema ye ni bachela ukute anakaa mkoa tofauti na mke kikazi...
 
hapana nilimaanisha mwanaume!

Hivi ni kweli hormone huwa zinapungua ndo zinasababisha mwanamke asijisikie? Mpk muda wote huo?!!![emoji848]

Ila kesi ya aina hii kwa mwanamke namfahamu mmoja tu,mume anazingua mke hata aombe hapewi!
Mi mwenyewe ninamiez 2 sasa sijaguswa kila nikiomba naambiwa kesho
 
Mi mwenyewe ninamiez 2 sasa sijaguswa kila nikiomba naambiwa kesho


Kuna michepuko ni wabaya sana, Yani wanakusudia kuharibu ndoa kabisa wakizani kuwa mkiachana na mumeo atapewa yeye nafasi ya mke !

Yani hilo siyo kawaida iko namna. Na utakuta siku jamaa akiamua mfanye anaweza asifike mwisho, kazi michepuko hiyo.

Yani mumeo akiingia kwa mchepuko jobless au kazi ya kubangaiza tu ambayo bado inamfanya huyo mchepuko kuwa tegemezi kwa Mwanaume lazima Mwanaume arogwe in most cases.

Michepuko jobless and those who are financially dependent ni shida. Wao target yao kubwa ni kusikia ndoa imevunjika ili wapewe nafasi ya kuwa mke wao [emoji4][emoji4]


Sasa muda wote huo kweli hapo kuna nini kinaendelea?

Je mawasiliano yapo baina yenu?

Ukimwambia una hamu anasemaje?
 
KABLA YA KUOLEWA,ULILALA NA KILA MTU WAKIWEMO WAUME ZA WATU, ULIKUWA NI CHANZO CHA MACHOZI, UTENGANO KWA FAMILIA ZA WENGINE. NAAM LEO NAWE UMEOLEWA! JE UNASTAHILI NDOA YA BILA USALITI? MALIPO NI HAPA HAPA DUNIAN.NAWE LAZIMA USALITIWE
 
😂😂😂😂😂😂😂
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Sasa mama D unataka kutuambia wanaozini na mbuzi ndio wenye akili?
 
Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
Hongera umeolewa na msanii hasa.....
siku anazokaza nje ndio anakuonyesha upendo zaidi........
nipo sawa nae huyo...
we are the masters of the gem mpe hi
 
Alafu wanawake hamjuagi hiki kitu.......
hv unajua kutomb.......nje kunaboresha penzi la ndani......
poleni sana kwa kuto elewa hili.....
ukipiga nje....ndani unarudi na ali mpya,kasimpya na nguvu mpya chukueli hili funzo
sio kila wakati nyivu nyivu tu pumbavu zenu nyinyi
 
Kumbe shabiki wa yanga....enzi za kamusoko eeh. Hongereni mwaka wenu...sasa uwe unampagawisha hubby kwa style ya mayele ukiwa uchi unatetema na matiti yanarukaruka lazima akubake ata kama ni mke wake🤣🤣🤣🤣
Comment mujarabu kabisa hii wanawake wa jf muone hapa na mzingatie mapenzi utundu sio uchawi
 
Hongera umeolewa na msanii hasa.....
siku anazokaza nje ndio anakuonyesha upendo zaidi........
nipo sawa nae huyo...
we are the masters of the gem mpe hi
Sasa unafikiri ninao muda wa kusakanua anayoficha? Msaliti ndiye anatakiwa kupata muhaho sio mimi
 
Sasa unafikiri ninao muda wa kusakanua anayoficha? Msaliti ndiye anatakiwa kupata muhaho sio mimi
Safi sana wanawake muiga hapa sio mnageuka kuwa maafisa wa KGB/wapelelezi kwenye familia zetu........
I wish mke wangu asome hapa manake yy amegeuka kuwa afisa uchunguzi
 
Back
Top Bottom