Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
Pole,naona jiwe limekupata...
 
Haya mambo hutakiwi ht kuyatia kichwan...jiweke 50/50 ...kwamba anaweza..lkn pia hawezi..
Sasa wewe jiaminishe mume wangu hachepuki na hatochepuka..siku likikuta jambo unaumia...
Ila ukijiweka katikati...ht stress hupati.. ilimradi nyumban anahudumia vzr....hakutesi...we usiwaze...


Sasa km ndo umegundua kakucheat...hakikisha anajua kwamba umejua ana cheat..kisha endelea na life yako na watoto wako...humo humo ndn...
Hamna kuondoka wala nn...[emoji1787][emoji1787]

We jifanye mjinga siku moja muulize mama yako je baba hajawahi kukucheat..usikie majibu yake....
Wanaume hawa waache hivi hivi ukifatilia utaumia mama ..life is short
Hii Comment ifanyiwe lamination[emoji4]
 
Halafu mi siachi mume eti kisa katomba kwingine,, nitaumia ila sitomuacha ila niliyemfuma nae huyo Sasa itategemeana hiyo siku nitakuwa ktk mood gani,,

Imenichukua zaidi ya robo karne kumpata mume mwema huyu hivyo siwezi kumuacha kifala fala, kitaeleweka tu nadhani nimemaliza DeepPond
That's how wife material should be,
Hii post Na Waisome wanawake wote humu jf[emoji4][emoji106]
 
Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
Pole sana Dada. Haya mambo sio rahisi sana.
 
Wakati nipo kwenye mahusiano ya uboifrendi na ugelofrend nilipogundua Hilo nilichapa LAPA..sijui kwenye ndoa itakuaje Jamani
Nasoma comments
Kwenye ndoa ukichapa lapa, ukua Ni fala[emoji2]

Otherwise uolewe na mgomba uutie seblen, uwe unautizama TU[emoji4]
 
Kumbe shabiki wa yanga....enzi za kamusoko eeh. Hongereni mwaka wenu...sasa uwe unampagawisha hubby kwa style ya mayele ukiwa uchi unatetema na matiti yanarukaruka lazima akubake ata kama ni mke wake🤣🤣🤣🤣
Acha uchizi mi sio yanga nitake radhi, kwakweli nikiwa nae nampa nampa nampa tu
 
Back
Top Bottom