Kwa hiyo kuchati nae hivyo tuu ndo unataka umuoe?Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k
Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Sasa mkuu hilo swali jibu lake si linaeleweka maana atakujibu "nothing" yatakuwa yaleyale tu
Ujue hata quran iliandikwa hivyo...irabu zimeongezewa juzi tuMamb
Smhn nlkw n shd n we Mar mj
Naomb unpgie cm km unwz
Xamhn kW usmbf
Watu wanaoandika hivi huwa siwaelewi kabisa vichwa vyao..
Hapana mkuu watoto wa kunduchi hao aisee wanaringa sanaHapana mkuu,na kama akijibu hivi maana yake hataki kuchat na asingepata shida kujibu angekaa kimya tu kwa sababu sio lazima kukujibu.
Na kama hizi logic tunazokupa hujazielewa basi hautoelewa tena na utaendelea kuwa mtumwa kwa mademu.
Okay nambieHii swali silipendi.
Haijalishi ni nani. Mpaka mood inakata. Mbaya zaidi awe amenianza.
Sijawahi tongoza na sijaoa na sidhani kana nitakuja tongoza kwa sasa walivojaa ni kushika mkono tuuNdoa zinaanziaga humo mkuu kwani we ulivooa ulimuanziaje
Yap!!!,Huo ndo uanaume.Mwanaume hutakiwi kugive up kwa vijimaneno kama ivyo inatakiwa mpaka kieleweke
Utakua umeukomoa uzoba.Sasa hapo utakuwa unamkomoa nani
Alafu jamaa anajisogeza tena na yeye.Demu anaejibu hivyo ana uhakika wa supply ya makende[emoji23][emoji23][emoji23]! Hawa ndo wanaovaa visendo vya manyoya na ana mabwana 6!
Babumawe nakukaushia maana hata sijaelewa hlw inamaanisha nini?Sasa tufanye kama ndo nishakuja pm tunaanza kuchart kama ifuatavyo
" hlw mambo rowin"
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k
Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Kaelekea wapi kwa unavoona ww kuna kitu alichoongea hapo?
kwenye u straight hapo ndio hana
We jamaa unazingua sasa umemwendea manzi inbox unataka kumpigia kwa namba gani hapo. Yani hapo ndo hatua ya mwanzo hata namba yake hauna ndo uko kwenye process nzima ili badae upate namba yake. Yani wewe maelezo yako ni kama endapo sasa ashakupa na namba sasa kumpigia ni process ya pili lakini kwa sasa tunadili na hiyo process ya kwanza kabisa haya lete maneno mengine sasa
ushauli tu wee piga sim ongea nae basi
text hizo unajichosha ingekua mm hta text ya pili nisinge tuma
SawaWa kushika mkono hao ni makahaba wa kimboka sio kwa wanaojielewa
Kuna utoto bado kama niivyo aiseeHahhaaaa
Na kama NI Facebook je?
Huyo mvivu kichwani