Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

ushauli tu wee piga sim ongea nae basi
text hizo unajichosha ingekua mm hta text ya pili nisinge tuma
 
Sio lazima akuandikie hataki kuchat nawe mkuu jiongeze
 
We jamaa unazingua sasa umemwendea manzi inbox unataka kumpigia kwa namba gani hapo. Yani hapo ndo hatua ya mwanzo hata namba yake hauna ndo uko kwenye process nzima ili badae upate namba yake. Yani wewe maelezo yako ni kama endapo sasa ashakupa na namba sasa kumpigia ni process ya pili lakini kwa sasa tunadili na hiyo process ya kwanza kabisa haya lete maneno mengine sasa
Acha kutongoza mademu wa mitandaoni. Hapo mtaani unapoishi mbona mademu wapo kibao tu unaoweza kuongea nao face to face.
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.muulize sim yako inapokea pesa
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
muulize line yko inapokea pesa halaf uone kma maongezi hayajabadilika..
 
Acha kutongoza mademu wa mitandaoni. Hapo mtaani unapoishi mbona mademu wapo kibao tu unaoweza kuongea nao face to face.
Sasa kwa akili yako hawa wa mitaani hawaingii mitandaoni au, umeongea non sense
 
We unamtokeaje
demu anaejiita cutilicious au prettylicious 😂😂😂??? Matatizo mengine huwa mnajitfutiaga tu.
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Hapo tatizo sio uyo Msichana tatizo ni wewe mwenyewe unamuuliza maswali ambayo majibu yake ni Poa(P) au Ok(k)
Unachotakiwa kufanya wewe ni kuframe Maswali ambayo atatakiwa kujibu Essay(kutoa melezo mengi) kwa muktadha huo uyo msichana atacooperate vizuri kabisa
Jaribu hii You will come to thank me later. Ahsante
 
We utakua domo zege mpaka ujifiche nyuma ya keyboard ndio utongoze. Sasa demu wa mtaani unaenda kumuombea namba inbox? Si umfate? Ndio maana unajibiwa hovyo.
Unachanganya madawa, sasa kama mtaani hakuna mkali yaani hakuna mwenye hadhi ya kutembea nae je kuna guarantee yeyote hapo.. maneno yako yamekosa logic yaani ukimpenda mtu basi usimwendee hewani kisa tu mtandaoni badilika ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom