SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 622
- 549
Hii swali silipendi.Boy: okay niambie
Haijalishi ni nani. Mpaka mood inakata. Mbaya zaidi awe amenianza.
Hii swali silipendi.Boy: okay niambie
Hahhaaaamuelewe tu unam2mia nmba 2 km ni JF
Mkuu unaishi wapi? 😂😂😂😂 Hama huo mtaaUnachanganya madawa, sasa kama mtaani hakuna mkali yaani hakuna mwenye hadhi ya kutembea nae je kuna guarantee yeyote hapo.. maneno yako yamekosa logic yaani ukimpenda mtu basi usimwendee hewani kisa tu mtandaoni badilika ww
😂😂😂😂Mkuu unaishi wapi? 😂😂😂😂 Hama huo mtaa
Kama swali gani jaribu kuframeHapo tatizo sio uyo Msichana tatizo ni wewe mwenyewe unamuuliza maswali ambayo majibu yake ni Poa(P) au Ok(k)
Unachotakiwa kufanya wewe ni kuframe Maswali ambayo atatakiwa kujibu Essay(kutoa melezo mengi) kwa muktadha huo uyo msichana atacooperate vizuri kabisa
Jaribu hii You will come to thank me later. Ahsante
Sasa wewe umemtafuta mtu.Swali la kawaida hilo mbona hasahasa kama mtu anataka charting iendelee
Tembelea maeneo ambayo ni rahisi kukutana na watoto wazuri utawapata wengi tuu. Hii ya kutongoza mitandaoni utakutana na vitu vya ajabu na ni stress tupu.Siwezi hama ila mtaa kuwa na watoto wazuri ni kama bahati tu
Wewe ndio umeandikaMamb
Smhn nlkw n shd n we Mar mj
Naomb unpgie cm km unwz
Xamhn kW usmbf
Watu wanaoandika hivi huwa siwaelewi kabisa vichwa vyao..
Sio mimiWewe ndio umeandika
Sijaelewa tunatakiwa kujibu?Yaa tena hapo mnatakiwa kujibu" safi tu vipi lakini mishe zinaendaje"
Mkuu," pande hizi safi kimtindo ningependa hata nisikie sauti yako"
Alfuuu Ni upuzi kabisaa....we ndo unachat nae then unamwambia Niambie...wanaumewa kizazi Cha kuazia 90 wengi chengaaa kabisaaHapo wote ni watoto ukiona demu anajibu hivyo bado unaendelea kumuongelesha wewe pia hujitambui, jambo jengine achakutumia sms kupiga story na demu kama bado hamjafikia hatua fulani ya mazoea , pia kama unataka kuchat kwa sms tuma something meaningful maana naona unarudia rudia salamu tu kama mtu asiye na dira na maongezi be straight
Mkuu kwa mwendo huu utapata taabu sana na hawa viumbe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣" pande hizi safi kimtindo ningependa hata nisikie sauti yako"