Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Hata ulieanzisha chatting hueleweki, hiyo p naona kakusitiri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Utopolo mtupu
 
Apo ww ndo mwenye makosa hapa aulizi maswali bali unataka kumjua mtu kiundani apo ndo unapo feli hit kwenye point acha kuzunguka kama hauna kitu cha kumwambia bora ukae kimya majibu yke ndo haya mwana kulitafuta mwana kuli findi kama unampenda mwambie au kama unataka ukutane nae mwambie
Sasa Mr ideas huoni huyu mtu ni Mrs shortcut sasa naomba utupe kitu cha kumwambia kwa ujuzi wako
 
Katika vitu sipendi ni limtu kunifata inbox lianze kutuma sms za salamu, inanikera kinoma ukituma ya Kwanza ukaona kimya endelea na yako, sina muda wa kukujibu.
Tabia mbaya ndo hizi sasa SMS za salamu nyie zinawaumiza au
 
Mkuu hapo ni kusepa mapema kabisa hicho ni kiwango cha lami cha dharau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom