Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Namba moja acha kutongoza kupitia simu unajikosesha marks unaonekana mshamba, namba mbili tumia sms na mtu ambaye mmezoeana, namba tatu kwa mtoto wa kike ambae yupo age ya ujana wanaume wengi wanatumia njia kama yako ya kishamba kutongoza , demu anaamua kukujibu shit akijua kabisa nia yako ni ipi anaona unavyojibaraguza tu kuondoa usumbufu anaamua kukukatisha tamaa mapema kwa kukuonesha hayupo interested na swaga zako, kama unataka kuwa wa kipekee kidogo piga simu kama mnaishi mbali , kama yupo karibu mtafute uso kwa uso inaonesha upo serious angalau sio kutuma vijumbe ukiwa umejifunika shuka .
Sasa kama kwa hapa jf sisi unatupa mbinu gani ? Maana namba hatuna.
 
Mimi nikijibiwa meseji mbili short hua situmi meseji tena
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Usiwe unauliza maswali mengi mkuu. Ongea kitu chochote na yeye ataongea tu.
 
Pole mkuu ,sema naona kama alikuwa unakusiliza huna njaa mkuu

Au interval ya kati ya hizo messages ilikuwa kubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom