Kwa swagga hizo mkuu hawa watoto wa siku hizi watakunyanyasa sana kijinsia. 🤣Kivipi mkuu ngoja mtoto apate swaga ww
Umeona eennhhh?Hapo wote ni watoto ukiona demu anajibu hivyo bado unaendelea kumuongelesha wewe pia hujitambui, jambo jengine achakutumia sms kupiga story na demu kama bado hamjafikia hatua fulani ya mazoea , pia kama unataka kuchat kwa sms tuma something meaningful maana naona unarudia rudia salamu tu kama mtu asiye na dira na maongezi be straight
King'ang'anizi anajaribu bahati yake.Yaani unajibiwa hivyo but still unaendelea kureply !?? Ama kweli ujinga mzigo ,[emoji3][emoji3]
Mtoa mada soma hapa huu ndio utaalamu ulioukosa wewe ukafeli,na mada imeisha hapa.Hapo tatizo sio uyo Msichana tatizo ni wewe mwenyewe unamuuliza maswali ambayo majibu yake ni Poa(P) au Ok(k)
Unachotakiwa kufanya wewe ni kuframe Maswali ambayo atatakiwa kujibu Essay(kutoa melezo mengi) kwa muktadha huo uyo msichana atacooperate vizuri kabisa
Jaribu hii You will come to thank me later. Ahsante
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yuko na bidders wengi hana presha na ukienda kichwa kichwa atakupiga hela bila hata ya kuivua sketi yakeDemu anaejibu hivyo ana uhakika wa supply ya makende[emoji23][emoji23][emoji23]! Hawa ndo wanaovaa visendo vya manyoya na ana mabwana 6!
Mtoa mada soma hapa huu ndio utaalamu ulioukosa wewe ukafeli,na mada imeisha hapa.
Kwa sisi wazoefu huwa tunatumia mbinu hii atake asitake lazima ataongea tu yaani unamchokonoa kilazima.
Si bora huyo wako anajibu sms.
Mimi nimeshawahi kudeal na mademu unamtumia meseji siku tatu tofauti anauchuna hajibu na kuna mbinu advanced za kumchokonoa mpaka mwenyewe anajibu.
Kuna maswali ya kumuuliza mpaka afunguke sasa wewe umeandika sentensi 5 zote ni salamu tu.
Kuna maswali kama:
1.Mnatunyima nini huko tabata?
2.Kiukweli wewe ni mzuri sana,nipe siri ya uzuri wako?
3.Nimejisikia sana kutoka na wewe,ni siku zipi huwa unapendelea kutoka outing?
4.Kwa mfano ukitoka outing ni sehemu zipi huwa unapendelea kwenda.
Haya ndio maswali ya kumpiga ambayo yatakusaidia wewe umjue demu ni mtu wa aina gani na kila anavyojibu ndio anazidi kujichomeka kwenye nyavu.
Sawa majibu yako ni kama ifuatavyo
1.nop
2.nothing
3.nothing
4.refer 3
haya majibu hayaendani na maswali.
Na ikitokea amejibu hivyo basi huyo ni kiburi na kuna njia zake za kudeal na demu kiburi.
unaendelea naye kama hivi.
Unahisi ni kitu gani kinachokuzuia wewe kutoka outing?
Ni lazima uwe mbishi sio kirahisi rahisi tu akukubalie ukamtanue kipochi manyoya chake