Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Apo ww ndo mwenye makosa hapa aulizi maswali bali unataka kumjua mtu kiundani apo ndo unapo feli hit kwenye point acha kuzunguka kama hauna kitu cha kumwambia bora ukae kimya majibu yke ndo haya mwana kulitafuta mwana kuli findi kama unampenda mwambie au kama unataka ukutane nae mwambie
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Sms zote hizo?

Huna dk?
 
Katika vitu sipendi ni limtu kunifata inbox lianze kutuma sms za salamu, inanikera kinoma ukituma ya Kwanza ukaona kimya endelea na yako, sina muda wa kukujibu.
 
Hapo tatizo sio uyo Msichana tatizo ni wewe mwenyewe unamuuliza maswali ambayo majibu yake ni Poa(P) au Ok(k)
Unachotakiwa kufanya wewe ni kuframe Maswali ambayo atatakiwa kujibu Essay(kutoa melezo mengi) kwa muktadha huo uyo msichana atacooperate vizuri kabisa
Jaribu hii You will come to thank me later. Ahsante
Uko sahihi sana jamaa haulizi maswal yatakayomfanya demu ajibu in full sentence... Bado hajachelewa aingie google atafute Pdf ya DOUBLE YOUR DATING itampa maujanja yote ya kuwahandle hao viumbe(wanawake)
 
Hivo vitabu Vina fit kwa high cultural context people sio low cultural context people hasa hasa developing countries kma Tanzania utapoteza mda
Mim nadhan mpka mdada anakujibu ivo in pale ambpo mtu anchukua nmb yake bila ridhaa yake ila kma mlikutana na akakupa yeye mwenyewe cidhan kma atajibu ivo
Uko sahihi sana jamaa haulizi maswal yatakayomfanya demu ajibu in full sentence... Bado hajachelewa aingie google atafute Pdf ya DOUBLE YOUR DATING itampa maujanja yote ya kuwahandle hao viumbe(wanawak
 
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
Majibu sahihi kabisa kwa maswali hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom